Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
Ha ha ha...imekuingia yoteeee au sioImoooooooooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha...imekuingia yoteeee au sioImoooooooooooo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] jamaa umenifurahishaAngekua domo wee unge ungevua had chip kusherekea
Sasa mbwembwe za nini.. Kawaida io wale upande wa pili wanaandikaga kama wanaongea vileHuu uzi umepoa sana..
Yani watu wanapongeza kinyonge
Jitekenye afu uendelee kuchekaHa ha ha...imekuingia yoteeee au sio
Vipi na yy kanunuawengine wanasema tuzo za vichochoroni, wengine wanasema chibu kachukua mwaka jana.. doh! kweli mondi aliimba binadamu wabaya
Mdogo wangu tuliza mkunasha, bora ulale maana kila kitu unakurupukia kishabiki bila ata kuelewa.Jitekenye afu uendelee kucheka
Hongera yake kijana,tuzo za huyu kijana huwa hawaendi kuzipokea kama yule mwenzake ambavyo hufanya?
ndiyo..Vipi na yy kanunua