Ali Kiba ashinda tuzo za NAFCA na The Nol

Kuweka Record sawa hizi tuzo diamond alishinda mwaka jana
Kifupi ni kwamba kiba anapita alipopita diamond platnumz kama kwa jokate
View attachment 438513
wewe umesha shinda nini? Acha roho mbaya kumtusi mwenzako bila sababu za msingi roho mbaya namna hiyo ni sumu kwa afya yako. Hongera Kiba na Diamond nae alipongezwa aliposhinda pia, kwani hata yeye alipo ichukua mwaka jana kuna mwanamuziki mwingine alisha shinda pia, kwa hiyo ni vyema kusema kuwa mondi nae kapitiwa na hao?! Hovyo sana chuki za kijinga.
 
Acha puvu, wapi nimedanganya au nimesema uongo?
Kama kusema ukweli ni roho mbaya?
Kanywe chai
 
Acha puvu, wapi nimedanganya au nimesema uongo?
Kama kusema ukweli ni roho mbaya?
Kanywe chai
Roho mbaya sana unayo kuhusu kiba, eti anapita alipopita Dai kwani yeye Dai hajapita walipopita wengine?! Kumfananisha Kiba na Jokate umeona sawa?! Kuwa mtu mzima acha utoto.
 
Roho mbaya sana unayo kuhusu kiba, eti anapita alipopita Dai kwani yeye Dai hajapita walipopita wengine?! Kumfananisha Kiba na Jokate umeona sawa?! Kuwa mtu mzima acha utoto.
Nimesema uongo? Au ni kweli kapita?
Mbona watu huwa hampendi kuambiwa ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…