Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tukana usipongeze.Kwahiyo mnataka tumpongeze..??
Haya masela na mashabiki wenzangu wa king kiba tuendelee kuvote na huku.
Alitotolesha three kids, na za kunyapia nyapia hata Tiffah ni wa IVANHuko aliko Chibu IVAN alipafanyaje?
When you grow up you'll be a witchtuzo hazikuagi na mvuto kama diamond hayupo kama hizi eatv awards na ukitokea tuzo ni za uchochoro kama hizi sijui instagram awards D ndo hata hatakagi kujipa promo ....
Tuzo bila participation ya diamond zinakuwa hazina mvuto
yule ni mshamba wa tuzoHongera yake kijana,tuzo za huyu kijana huwa hawaendi kuzipokea kama yule mwenzake ambavyo hufanya?
Zile za AEUSA ni za kwenye korido ama?Tuzo za vichochoron.....ama kweli kipofu kaona nyota
Vipi kwani. Hazijulikani ama?Duh Tuzo nyingine buana .....mhhhh
haya hongera yake.
Utakavyo amua mkuuKwahiyo mnataka tumpongeze..??
wewe umesha shinda nini? Acha roho mbaya kumtusi mwenzako bila sababu za msingi roho mbaya namna hiyo ni sumu kwa afya yako. Hongera Kiba na Diamond nae alipongezwa aliposhinda pia, kwani hata yeye alipo ichukua mwaka jana kuna mwanamuziki mwingine alisha shinda pia, kwa hiyo ni vyema kusema kuwa mondi nae kapitiwa na hao?! Hovyo sana chuki za kijinga.Kuweka Record sawa hizi tuzo diamond alishinda mwaka jana
Kifupi ni kwamba kiba anapita alipopita diamond platnumz kama kwa jokate
View attachment 438513
Acha puvu, wapi nimedanganya au nimesema uongo?wewe umesha shinda nini? Acha roho mbaya kumtusi mwenzako bila sababu za msingi roho mbaya namna hiyo ni sumu kwa afya yako. Hongera Kiba na Diamond nae alipongezwa aliposhinda pia, kwani hata yeye alipo ichukua mwaka jana kuna mwanamuziki mwingine alisha shinda pia, kwa hiyo ni vyema kusema kuwa mondi nae kapitiwa na hao?! Hovyo sana chuki za kijinga.
Roho mbaya sana unayo kuhusu kiba, eti anapita alipopita Dai kwani yeye Dai hajapita walipopita wengine?! Kumfananisha Kiba na Jokate umeona sawa?! Kuwa mtu mzima acha utoto.Acha puvu, wapi nimedanganya au nimesema uongo?
Kama kusema ukweli ni roho mbaya?
Kanywe chai
Nimesema uongo? Au ni kweli kapita?Roho mbaya sana unayo kuhusu kiba, eti anapita alipopita Dai kwani yeye Dai hajapita walipopita wengine?! Kumfananisha Kiba na Jokate umeona sawa?! Kuwa mtu mzima acha utoto.