Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
Hapana bro,ilikuwa imekulalia.Kwani Nchi ilikua imekaa!?
Tulia hvo hvo😁😁😁tumsubiri king💪💪Ngoja niweke pozi kumsubiri King. View attachment 1257832
Anatangaza Ali kiba unforgetable tour...nafikiri hii itakuwa ni moja ya miradi yake.Ali Kiba yuko live sasa hivi akiongea na waandishi wa habari...na anaonekana live kupitia east africa tv kwa kile anachokiita tamko la king kiba.
Anaita carrier building....yaani ujenzi wa ndoto kazi kwa vijana...fursa kwa vijana.Anatangaza Ali kiba unforgetable tour...nafikiri hii itakuwa ni moja ya miradi yake.
Atashirikisha hasa wanafunzi wa vyuo.
Kutakuwa na elimu juu ya ugonjwa wa ebola.Anaita carrier building....yaani ujenzi wa ndoto kazi kwa vijana...fursa kwa vijana.
Supporting camp....lengo kutoa huduma za afya bure. Hii atashirikiana na wizara ya afya.