Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Wasanii wa kibongo hawana upeo na hawana ma handlers wazuri.
Professionally hakupaswa kufanya media tour katikati ya wiki ya festival ya Diamond, kama ambavyo Diamond nae hakutakiwa kuwa busy na maziara ya Makonda kwenye mahospitali katikati ya maandalizi ya onyesho lake la kwanza katika miaka minne... third world shambolic entertainment scene