Ali Kiba atangaza ujio wa ziara yake ya muziki ya ''Unforgettable"

Ali Kiba atangaza ujio wa ziara yake ya muziki ya ''Unforgettable"

Yani nikidhani wewe ndo unatupa kumbe unataka kutoka kwetu
Jaman samahani nmeshindwa kuelewa lengo na nia ya hii kitu iliyoandaliwa na huyu mffalme introduction tu ya hii kitu naona hata hanivutii nmeamua kuzma Tv naomba mtanijuza kilichojiri

Naona jamaa anashindwa kujieleza nia na lengo ya press conference yake anajing`atang`ata tu

Haya mambo yana wenyewe
 
Kiba miti yote inateleza..

Cloudz imemtelezea
Mke wake ameteleza
Meneja wake 7 Mosha,ameteleza
Mashabiki wameteleza
Mange ametelezaa
Interview imemtelezea

Hata na nyimbo zinautelezi
Coastal Union nayo imeteleza

Sema tu hapendi showoffs:hata kwenye kuteleza
Yeye na Mange wote sawa kuongea mbele ya camera shida.
 
Mpaka sasa hamna aliyesema kasema nini...
Hiyo presentation itakuwa kiboko...
 
Alivyosema tamko watu wengine ndio tukapata shauku ya kutaka kujua hilo tamko ni la kuhusu nini ila kuja kuzingua kweli sijaona tamko.
 
Mange aliniangusha sana...hajiwezi kabisa. Afadhali hata lema.
Sasa huyu Kiba ambaye ana miaka 16 hadi sasa kwenye mziki ila bado ana uoga wa kuongea mbele ya camera na kujieleza vizuri nako shida ni jambo ambalo limenishangaza kweli leo.
 
Watu wengi wapo vizuri sana kwenye kuandika lakini linapokuja suala la kuzungumza tena mbele ya hadhira inakua shida sana....

Go Kiba, kelele za walalahoi zisikuumize kichwa.
 
Watu wengi wapo vizuri sana kwenye kuandika lakini linapokuja suala la kuzungumza tena mbele ya hadhira inakua shida sana....

Go Kiba, kelele za walalahoi zisikuumize kichwa.
Huyu kiba we.muweke booth ndio utajua shughuli yake ila kuongea ongea hawez
 
Dah! Watz tunashida kubwa sana aisee! Chuki tuliyoijaza mioyoni mwetu sijui kama itakuja kwisha..

Muacheni kijana wa watu afanye anachoweza, uwezo wake umemfikisha hapo, nyie mnaojua kujieleza mbele ya kamera fanyeni yenu kwa nafasi yenu, kwa nini chuki?

Kama hutaki kumsikiliza zima tv yako au badili chaneli sio lazima jamani! Ifike wakati kila mmoja afuate biashara yake, stop hating! Its wont bring u any good
Tunaoumia ni sisi mashabiki
 
Nimesikiliza wimbo mpya wa alikiba unaitwa mshumaa, kwa kweli huu wimbo jamaa anairudisha bongofleva kwenye ramani. Hakuna unaijeria wala ukongo humo ladha ya bongo tu katambaa nayo.
Jamaa anajua sana. Ila ajifunze kuuingiza mziki wake sokoni uwe bidhaa na yeye awe brand
 
Jamaa anajua sana. Ila ajifunze kuuingiza mziki wake sokoni uwe bidhaa na yeye awe brand
Yes umeongea point sana, kiba kuna mahali anakosea. Huu wimbo mzuri sana lakini hata kwenye press yake hajagusia kuwa anatoa wimbo mpya leo. Inabidi awe na marketing strategies nzuri
 
Unajua Diamond timu yake inawazungu na walio mamanager wanajitambua sasa Ali Dah anajitawala na ni mbulula .
Hajitambui kwanza mwogope mwanaume anayetetea familua yake.
Nakumuacha mkewe
Huu ni upupu
 
Unajua Diamond timu yake inawazungu na walio mamanager wanajitambua sasa Ali Dah anajitawala na ni mbulula .
Hajitambui kwanza mwogope mwanaume anayetetea familua yake.
Nakumuacha mkewe
Huu ni upupu
Hahaha aya katoto kazuri
 
Back
Top Bottom