Ali Kiba atangaza ujio wa ziara yake ya muziki ya ''Unforgettable"

Ali Kiba atangaza ujio wa ziara yake ya muziki ya ''Unforgettable"

Yani huyu ali k.....

sijui ni anaogopa camera au sijui kigugumizi ndio shida yake...

au sijui ndio kusoma hawezi....

Ki ufupi huyu kiumbe anahitaji mazoezi makubwa kuongea "in front of the mass".....

anatetemeka as if kafungwa vibration kwenye ulimi...
 
Ali Kiba asee ni dissapointment...
Team yake ikae chini na ijitathmini kama kweli wapo serious na biashara ya muziki maana Kiba hana personality inayouzika hivyo wampige brush
 
Back
Top Bottom