CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Kaongea nn huyo mtambino [emoji3]
👇 👇 👇
Mkuu..yaani otimbi otimbilio kwa kweli haeleweki..
sijamuelewa kwakweli
kasema aliingia kosto yunion ili kuongeza CV eti nae kashacheza Primia Ligiiii
akawa anajichekesha "ndiooo nimecheza primia ligiii kuna wakubishaaa"😡😡
aseee naskia kutapka hapa