Ali Kiba atangaza ujio wa ziara yake ya muziki ya ''Unforgettable"

Ali Kiba atangaza ujio wa ziara yake ya muziki ya ''Unforgettable"

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,321
Leo ndo ile siku mfalme wa Bongo ata toa tamko rasmi,Na wadau wengi hatujui ni tamko gani ila ina semekana anataka kuzungumzia inshu ya kuibiwa penseli na mchiz wa tandale,,"inasemekana lakini" Hili tamko la mfalme litaruka live kupitia EATV na East africa Radio.
 
Ngoja niweke pozi kumsubiri King.
FB_IMG_15731376125362693.jpeg
 
Bora tuhamie huku maana kule kwenye serikali za mitaa hakufai hata kidogo
 
Aah aah aah mtoa mada utakuwa na tatizo la ubongo sasa kiba anaushawishi gani?
 
Ali Kiba yuko live sasa hivi akiongea na waandishi wa habari na anaonekana live kupitia East Africa tv kwa kile anachokiita tamko la King Kiba.
 
Jaman samahani nmeshindwa kuelewa lengo na nia ya hii kitu iliyoandaliwa na huyu mffalme introduction tu ya hii kitu naona hata hanivutii nmeamua kuzma Tv naomba mtanijuza kilichojiri

Naona jamaa anashindwa kujieleza nia na lengo ya press conference yake anajing`atang`ata tu

Haya mambo yana wenyewe
 
Back
Top Bottom