Alafu kwanini nyinyi clouds mmemtupa alikiba.😁😁kwan bro wew umefanikiwa nin toka uanze kuleta Uzi humu? humu tunakuja Ku refresh mind tu mafanikio tunayo kitaa,acha ungese😁
yeye mwenyewe Leo kalala hoi Kwa pumba alizoongeaWatu wengi wapo vizuri sana kwenye kuandika lakini linapokuja suala la kuzungumza tena mbele ya hadhira inakua shida sana....
Go Kiba, kelele za walalahoi zisikuumize kichwa.
ficha ujinga wako uzungu ndiyo kitu ganiUnajua Diamond timu yake inawazungu na walio mamanager wanajitambua sasa Ali Dah anajitawala na ni mbulula .
Hajitambui kwanza mwogope mwanaume anayetetea familua yake.
Nakumuacha mkewe
Huu ni upupu
Tatizo Kiba mbishi yeye hadi leo anaona kipaji chake ndio kila kitu atabaki hapo hapo madogo wanamkuta na kumpita kwa mbali sana,we tizama Harmonize wa juzi tu ila anamshinda kiba kwenye kujielezaHarmonize kamuacha mbalí sana kiba kwenye kuzungumza.
Kwa mfano mtu anakuuliza jana Ali kiba alitoa tamko gani utamjibu vp?Binafs nampongeza Kiba kwene hiyo press yake wengi hawajapata walichokitarajia bas wameishia kumlaumu tu..
Kwa upande wangu pia niwapongeze baadhi ya washauri wake huwenda kweli alikua amepanga kuja kuongea mambo ambayo yasingeeleweka vyema kwa jamii kuhusu Diamond ktk maswala yao ya penseli na eidha yangemshushia heshima yake au yangezidi kuipa kiki upande wapili nainaonekana ushaur huo wakubadili maongezi yake aliyapata baadae sana ndio mana kuna watu wanasema nikama alikua hajajipanga no alijipanga ila nazani alijipanga kvngine na daadae akaona haina haja Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hakuna Tamko lolote nandio mana nikasema inawezekana kwl alikua na jambo lakuja kuliongea lkn baada ya kushauriwa nakuona kwl ni upopoma akaona apotezee tu nandio mana ameonekana kama amepiga brah brah tu tofauti na tension watu waliokua nayoKwa mfano mtu anakuuliza jana Ali kiba alitoa tamko gani utamjibu vp?
Ujinga kila mwa africa anayo maana mmekuja mkatawalia kwa mfumo dume wanaume wanapigwa na wanaume wenzao natumikishwa baada ya yote haya wakarudi kuwekeza kila sekta ya vitu vya dhamani hatuna hata akili.ficha ujinga wako uzungu ndiyo kitu gani