BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Kiba amefanya wapi interviews tangu ashinde tuzo nahamu ya kumsikiliza alivyoongea sikumbuki sauti yake. Lazima atakua amejisifia haswa kwa kuzishinda tuzo na kazi yake.
Najishangaa nimepitwa mtu tuzo 5 lazima kuna interviews hata 10 za vipindi vya TV na Redio.
Naomba link hata ya kusoma.
Kashafanya tayari. Kwenye daladala za kwenda mbagala jana