Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Kiba amefanya wapi interviews tangu ashinde tuzo nahamu ya kumsikiliza alivyoongea sikumbuki sauti yake. Lazima atakua amejisifia haswa kwa kuzishinda tuzo na kazi yake.

Najishangaa nimepitwa mtu tuzo 5 lazima kuna interviews hata 10 za vipindi vya TV na Redio.

Naomba link hata ya kusoma.

Kashafanya tayari. Kwenye daladala za kwenda mbagala jana
 
sifurahii kabisa huu udhakilishaji kwa king daah kupata majaaliwa ngoja akaze atapata tu mjengo mtahama mji

basi asiitwe king mpaka ajenge kwanza, hata king yusuph wa taarab ana nyumba itakuwaje huyu 'rkelly' wa kariakoo hana?
 
Nawe ukiweza thibitisha hiyo nyumba ya huyo mwanamke mi nakupa mil 2 tsh ......sitanii hata kidogo. ...changamkia deal

Wewe unayepinga kuhusu hii habari ndio unatakiwa kuwa wa kwanza kuto prove wrong huo ndio utaratibu....
 
basi asiitwe king mpaka ajenge kwanza, hata king yusuph wa taarab ana nyumba itakuwaje huyu 'rkelly' wa kariakoo hana?
Hana sifa ya kuitwa "King". Atashindwaje kuwa na nyumba hata ya chumba moja halafu eti tumuite king!!!!
 
Sijui ataenda kuishi na hao watoto wapii basi afanye zamu zamu kuishi kwa aliozaa nao etiii t
 
Kwa Alikiba anavyo pendwa angekuwa anafanya show kila wiki na angezunguka nchi nzima..bado najiuliza ana tatizo gani? Nilisha sema hii management yake ni mbovu na ni ya kufukuzia mbali...kabisa..

Si aje afanye show hata jf wamo mashabiki wake wa kufaaa na kuzikana au ndio mapenzi ya jf tu hu hu hu hu hu hu huuuuuu dadekiiiii mbuzi kafia kw muuza supu💃💃💃💃😝😝😝😝
 
MImi kwenye upumbavu sinaga team kwa kweli, unafiki siuwezagi, watu tumechamba king wetu ana jumba la mil 900 kunduchi beach leo hii tunaambiwa kafukuzwa karudi kariakoo, fedheha gani hii? HUyo kiba atulie na akubali domo kampiga bao basi, maana kutokujikubali nako ni shida na mzigo sana, mi kanikera, nilikuwa namuona matured kumbe bado ana utoto.

Akazane kufanya kazi kwa bidii tu ipo siku atakuwa juu ila sio kwa kutudanganya mashabiki zake

Hahahahahahhahahahaha mi binamu hua nakuelezaaa hunisikii yaan kumshabikia kiba ni sawa na kuishabikia arsenal
Haya maneno ayaone @ms lincoln
 
Nasikia karudi kariakoo, yani kiba nimekulaani wewe, umetuaibisha sana team yako, sijui tunazificha wapi sura zetu, looh uongo umeanza lin

Njoo uzifiche kwangu binam ,mbona wenzio hawajii wanatamani iwe uongo eti hhahahahahahahhhh
 
Back
Top Bottom