Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba ni marioo kumbe? Sasa levels za Diamond atafikaje?
 
Mkuu ukiweza kuthibitisha pasi shaka hiyo nyumba ni ya unaye muita frank basi nitajitoa Jf....

Nawe ukiweza thibitisha hiyo nyumba ya huyo mwanamke mi nakupa mil 2 tsh ......sitanii hata kidogo. ...changamkia deal
 
Kiba amefanya wapi interviews tangu ashinde tuzo nahamu ya kumsikiliza alivyoongea sikumbuki sauti yake. Lazima atakua amejisifia haswa kwa kuzishinda tuzo na kazi yake.

Najishangaa nimepitwa mtu tuzo 5 lazima kuna interviews hata 10 za vipindi vya TV na Redio.

Naomba link hata ya kusoma.
 
Ahhhhh I gat u!

Hiki kinatosha mizigo yote ya king trip moja tu

1435173189975.jpg
 
Team Kiba watampa makazi kama wamemwezesha kupata tuzo! Makazi si issue sana!😅😅😅

Wanaweza nga'ng'ania nyumba ya diamond ni ya kiba kwani wana akili sasaa walee
 
Back
Top Bottom