Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi yote haya na kejeli anazotupiwa kiba ndiyo uzalendo mnaoulilia?
$tupid vote vote for davido,
Mkuu ukiweza kuthibitisha pasi shaka hiyo nyumba ni ya unaye muita frank basi nitajitoa Jf....
Mkuu mbona kama umekurupuka, kwema lakin huko???
Yaan leo nacheka hapaa watu kimyaaaa vepeeeee
Matusi yote haya na kejeli anazotupiwa kiba ndiyo uzalendo mnaoulilia?
$tupid vote vote for davido,
Hata mm siwaoni aisee, au leo ndo MB 8 ???
Ha ha ha king hana mizigo mingi, ana tuzo 6, mswaki na begi 2 lol
msijali atahamia kwa wema sepetu
Hatujauona uziiiiiYaan leo nacheka hapaa watu kimyaaaa vepeeeee
Team Kiba watampa makazi kama wamemwezesha kupata tuzo! Makazi si issue sana!😅😅😅
Ali Kiba ni marioo kumbe? Sasa levels za Diamond atafikaje?
Wanaweza nga'ng'ania nyumba ya diamond ni ya kiba kwani wana akili sasaa walee