Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

We nawe bora tu uache sometimes watu wanakujaza nyembe maksudi ukishapanick wenzio tunakaa pembeni tunacheka, hujazoea hili jukwaa bado?

Teh Teh umemuokoa sana nilikuwa najua lazima ange chezea ban mbelini maana alianza kupanic...
 
Mie nimchukie kiba kisa kwani kanifinya ngozi yangu?

Aaagh kuhusu rafiki yako nae nimchukie kisa nae kanifinya au? Ukweli ndio huo na ukweli unajulikana, mimi ni mimi sasa unazani alivyoambulia kuchukuliwa na kutunzwa hadi wakaoana ndio unakuja leta misifa hapa, kama anajua kujisimama mbona alikimbilia kurudi kwa mkewe? Alikutana na mkewe na ndio akamnyanyua na kuanza ubishololo wa juu, mwanamke ndio anamfanya asimame au kuzidi kusimama.

Ukweli utasemwa tu na chuki ni wewe ndio una wivu nae kuja kumuanika humu si ungepita tu, unatetea hauna hata aibu kusema eti mnaongea mengi. Nyumba basi ingekuwa hata inaonekana vizuri eeh, si ukae kimya upite.Khaaa haufai kuwa rafiki yake.

Tena utapindisha kona pindisha eti amenichapa khaa sema lingine. unakuja kumringia humu pinda kona kumbuka hii ni forum. Mwambie atulie sasa pesa ya kupewa ilimzingua afanye kazi sasa kwa bidii sio vya kupewa na kutegemea mke na kujionyesha anazo.

Tuliza hasira basi. ...jifunze kutafuta hata kama maisha magumu na sio kuwasema kila aliyekuzidi maisha kuwa kahongwa. ....wote tunajua mjini pagumu lkn pasikufanye uwe na hasira na watu wasiokujua. ....utapata presha ufe hehehe
 
Tuliza hasira basi. ...jifunze kutafuta hata kama maisha magumu na sio kuwasema kila aliyekuzidi maisha kuwa kahongwa. ....wote tunajua mjini pagumu lkn pasikufanye uwe na hasira na watu wasiokujua. ....utapata presha ufe hehehe

Aagggh nilishakwambia kata kona now unaleta ya presha looooo, weye ME au KE?

Hasira niwatolee nyie mmmhhhh, lol kata kona fast sio kuzidisha kupindisha kuzima kihivi.

Usisahau njoo basi huku niliko udongo kuinama umaskini unanimaliza heri yako TAJIRI wewe Oops nyie. Na utajiri wako bado mie maskini nakupelekesha karibu kwetu kwa jalala utapapenda tu kwa jinsi maisha yalivyo magumu hata pesa ya maji sina.
 
Na juzi kapanda daladala et anajifanya kuongea na mashabiki wakati Hana mafutaa
Haya sasa Matola muda wa kupitisha mchango umefika dawaa maana king anakua kingii
 
Last edited by a moderator:
Nimeanza kukoma kwa kuyaoga matusi mwenzio hehehe. ....watu wana hasira humu kama wamenifumania na mama zao. .....usiku mwema

Siku nyingine usivamie chakula kabla aujanawa. JF ni kubwa sana.
 
Mtu yeyote akiweka picha na ushahidi nyumba ni ya frank najitoa JF....kuna siku mwandishi wa shigongo alifanya mahojiano na king akosea akaandika mjengo wa kunduchi ni wa Kiba mbona Kesho yake Kiba alikanusha na demu akachamba kiba kwenda mbele nyumba ni Mariana na ndio aliyemfadhili video ya mwana na kideo cha cheketua Kiba ---- tu hajui kula na kipofu basi mwache akae na mama yake kariakoo ajifunze vizuri ugumu wa maisha
 
Back
Top Bottom