binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ni kipickup kidogo hivi cku hizi ziko vingi sana kinauwezo ndogo wa kubeba vitu kwake kitamtosha cz tuzo 6 plus begi 2
Ahhhhh I gat u!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kipickup kidogo hivi cku hizi ziko vingi sana kinauwezo ndogo wa kubeba vitu kwake kitamtosha cz tuzo 6 plus begi 2
Haya shem usiku mwema basi lala...ooh sorry umesema upo Uk sijui ni goodmorning/afternoon/evening/night utachagua ilio sahihi....
Nasikia karudi kariakoo, yani kiba nimekulaani wewe, umetuaibisha sana team yako, sijui tunazificha wapi sura zetu, looh uongo umeanza lin
We nawe bora tu uache sometimes watu wanakujaza nyembe maksudi ukishapanick wenzio tunakaa pembeni tunacheka, hujazoea hili jukwaa bado?
Mie nimchukie kiba kisa kwani kanifinya ngozi yangu?
Aaagh kuhusu rafiki yako nae nimchukie kisa nae kanifinya au? Ukweli ndio huo na ukweli unajulikana, mimi ni mimi sasa unazani alivyoambulia kuchukuliwa na kutunzwa hadi wakaoana ndio unakuja leta misifa hapa, kama anajua kujisimama mbona alikimbilia kurudi kwa mkewe? Alikutana na mkewe na ndio akamnyanyua na kuanza ubishololo wa juu, mwanamke ndio anamfanya asimame au kuzidi kusimama.
Ukweli utasemwa tu na chuki ni wewe ndio una wivu nae kuja kumuanika humu si ungepita tu, unatetea hauna hata aibu kusema eti mnaongea mengi. Nyumba basi ingekuwa hata inaonekana vizuri eeh, si ukae kimya upite.Khaaa haufai kuwa rafiki yake.
Tena utapindisha kona pindisha eti amenichapa khaa sema lingine. unakuja kumringia humu pinda kona kumbuka hii ni forum. Mwambie atulie sasa pesa ya kupewa ilimzingua afanye kazi sasa kwa bidii sio vya kupewa na kutegemea mke na kujionyesha anazo.
Ha ha ha king hana mizigo mingi, ana tuzo 6, mswaki na begi 2 lolMweeeh acha masihara kale kanabeba kabati 2 na kochi mbili ukizidisha body halitatosha ila kwa king kitamtosha cz hana vi2 vingi
Women empowerment wanawake wakiamua wanaweza.....Kiba amejitahidi kutengeneza timu za mtandao kwa kusaidiwa na ma - x wa Mondi lakini kiukweli hamwezi Chibu.
Chibu is next level!
Ha ha ha king hana mizigo mingi, ana tuzo 6, mswaki na begi 2 lol
Ukiingia huku ukapanic na kuchukulia mambo serious utapachukia sanaNimeanza kukoma kwa kuyaoga matusi mwenzio hehehe. ....watu wana hasira humu kama wamenifumania na mama zao. .....usiku mwema
Teh Teh umemuokoa sana nilikuwa najua lazima ange chezea ban mbelini maana alianza kupanic...
Tuliza hasira basi. ...jifunze kutafuta hata kama maisha magumu na sio kuwasema kila aliyekuzidi maisha kuwa kahongwa. ....wote tunajua mjini pagumu lkn pasikufanye uwe na hasira na watu wasiokujua. ....utapata presha ufe hehehe
Ha ha ha king hana mizigo mingi, ana tuzo 6, mswaki na begi 2 lol
Nimeanza kukoma kwa kuyaoga matusi mwenzio hehehe. ....watu wana hasira humu kama wamenifumania na mama zao. .....usiku mwema
Ha ha ha king hana mizigo mingi, ana tuzo 6, mswaki na begi 2 lol
Naijua hiyo guest house...lol
Hapawezi pale Nazi ataziitaji haswaaaaaa
Nowdays "niggaz speak more than b*tches"-DRAKE QUOTE.