BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Kiba amefanya wapi interviews tangu ashinde tuzo nahamu ya kumsikiliza alivyoongea sikumbuki sauti yake. Lazima atakua amejisifia haswa kwa kuzishinda tuzo na kazi yake.
Najishangaa nimepitwa mtu tuzo 5 lazima kuna interviews hata 10 za vipindi vya TV na Redio.
Naomba link hata ya kusoma.
Kwakweli hata mi naona vote for davido no way....Matusi yote haya na kejeli anazotupiwa kiba ndiyo uzalendo mnaoulilia?
$tupid vote vote for davido,
Video yacheketua inatoka lini?
Kumekucha
Kumpigia kura kwa tuzo 3 link hii ya
Kupiga kura kila kategori bila mara nyingi
MAMA 2015
View attachment 263204
sifurahii kabisa huu udhakilishaji kwa king daah kupata majaaliwa ngoja akaze atapata tu mjengo mtahama mji
basi asiitwe king mpaka ajenge kwanza, hata king yusuph wa taarab ana nyumba itakuwaje huyu 'rkelly' wa kariakoo hana?
Nawe ukiweza thibitisha hiyo nyumba ya huyo mwanamke mi nakupa mil 2 tsh ......sitanii hata kidogo. ...changamkia deal
Kashafanya tayari. Kwenye daladala za kwenda mbagala jana
we unanyumba?
Mpigie king gari hiyo hpo inamsubiria iko full tank hata kma ni kigoma ntampeleka
Hana sifa ya kuitwa "King". Atashindwaje kuwa na nyumba hata ya chumba moja halafu eti tumuite king!!!!basi asiitwe king mpaka ajenge kwanza, hata king yusuph wa taarab ana nyumba itakuwaje huyu 'rkelly' wa kariakoo hana?
Yaani nimeziona picha alikuwa anacheka sana...kuonekana pichani kama amefurahia kumbe mmmhhh
Ni kweli mkuu!
Ila si kweli
Kwa Alikiba anavyo pendwa angekuwa anafanya show kila wiki na angezunguka nchi nzima..bado najiuliza ana tatizo gani? Nilisha sema hii management yake ni mbovu na ni ya kufukuzia mbali...kabisa..
Sijui ataenda kuishi na hao watoto wapii basi afanye zamu zamu kuishi kwa aliozaa nao etiii t
MImi kwenye upumbavu sinaga team kwa kweli, unafiki siuwezagi, watu tumechamba king wetu ana jumba la mil 900 kunduchi beach leo hii tunaambiwa kafukuzwa karudi kariakoo, fedheha gani hii? HUyo kiba atulie na akubali domo kampiga bao basi, maana kutokujikubali nako ni shida na mzigo sana, mi kanikera, nilikuwa namuona matured kumbe bado ana utoto.
Akazane kufanya kazi kwa bidii tu ipo siku atakuwa juu ila sio kwa kutudanganya mashabiki zake
Nasikia karudi kariakoo, yani kiba nimekulaani wewe, umetuaibisha sana team yako, sijui tunazificha wapi sura zetu, looh uongo umeanza lin
Naona hata ubaloz haulipi sasaa hu hu hu huuuuuu