Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

mwanaume akiwa mbeya mzush mzushi haipendez kabisa mkiveshwa kanga tutaruka n nyie muachen Kiba mbna mnakosa cha kufanya mnamchimba how come....
 
Hahaaa ndio king huyo ambae hana nyumba......kuna king mwenzake anakiblog nae kapanga dadadeki zao...hakuna baba mwenye tuzo kuna faza hausi

huyu mwenye kiblogu si ana mjengo shambani kwake kinyelezi?
 
Yaani hajajenga....?? Hii si Ndio walikuwa wanasema ni Kali zaidi ya nasibu....???
 
Bado haijathibitishwa kuwa hyo nyumba ni ya huyo mwanamke au lah, ila kitendo cha kupanga na kudanganya kuwa mjengo ni wake ni fedheha na aibu tosha, ametuaibisha team kiba, mimi nashindwa ata kumtetea


Tangu lini kupanga ikawa ujinga???? Twendeni taratibu jamani haya mawe mnayomtupia jamaa niuonevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…