BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh 😀😀😀😀😀😀
Hahaaa mimi nacheka tu...sjui kwanini.
Ni kipickup kidogo hivi cku hizi ziko vingi sana kinauwezo ndogo wa kubeba vitu kwake kitamtosha cz tuzo 6 plus begi 2
we unanyumba?
Hahaaa ndio king huyo ambae hana nyumba......kuna king mwenzake anakiblog nae kapanga dadadeki zao...hakuna baba mwenye tuzo kuna faza hausi
Teh teh teh 😀😀😀😀😀😀
Sasa ni kwanini pia aliamua kuzalisha hovyo.?
Namsikitikia sana.
Teh teh teh 😀😀😀😀😀😀
kwani yeye king?
"we hujui sauzi kuna zenofobia? " :A S wink:
Sina!
Ila sio kweli
Bado haijathibitishwa kuwa hyo nyumba ni ya huyo mwanamke au lah, ila kitendo cha kupanga na kudanganya kuwa mjengo ni wake ni fedheha na aibu tosha, ametuaibisha team kiba, mimi nashindwa ata kumtetea
Tangu lini kupanga ikawa ujinga???? Twendeni taratibu jamani haya mawe mnayomtupia jamaa niuonevu.