HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,204
Sasa unabisha nini Wakati wenzio wanajua....
huyu mwenye kiblogu si ana mjengo shambani kwake kinyelezi?
Ana watoto kama timu ya mpira wa kikapu kila mtu na mama yakee
Ha ha ha ha spare my ribs....hicho kipicha ha haTeh teh teh 😀😀😀😀😀😀
Familia itakuja na boda bodaSasa ile pickup nliyotoa itatosha au nitume ya kubeba familia..
mwanaume akiwa mbeya mzush mzushi haipendez kabisa mkiveshwa kanga tutaruka n nyie muachen Kiba mbna mnakosa cha kufanya mnamchimba how come....
Watu mnafatilia sana ishu
Hadi za ndaniiiiiii
Familia itakuja na boda boda
kwanini sio kweli....?Hata mi sijui mkuu!
Ila tu sio kweli,
kwanini sio kweli....?
Sasa shemeji kwa hii kauli huoni kama nawe utaingia kwenye hilo kundi la kuolewa?
make unatupa tu habari bila kuthibitisha, tupia hata picha mbili tatu, za fank, pia akiwa na kiba, na hata frank akiwa kwenye mjengo wake.....waweza kwenda mbali zaidi kwa kum-whatsapp kuna mwanamke anajisingizia hii ni nyumba yake akupe vipicha picha eeeh hivo yani....kwi kwi kwi umbea kazi
zenofobia yenyewe ya ajabu kweli, inazuia video ya king peke yake, za kina vanessa mdee walaa!Haaaaaaa "zenofobia" inazuia vidio kutoka jaman haaaaa nimecheka sana wallah
Sasa ile pickup nliyotoa itatosha au nitume ya kubeba familia..
Hana sifa ya kuitwa "King" labda aitwe "Queen"
Atashindwaje kuwa na nyumba hata ya chumba moja halafu eti tumuite king!!!!
Ndomooo