Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Sasa shemeji kwa hii kauli huoni kama nawe utaingia kwenye hilo kundi la kuolewa?
make unatupa tu habari bila kuthibitisha, tupia hata picha mbili tatu, za fank, pia akiwa na kiba, na hata frank akiwa kwenye mjengo wake.....waweza kwenda mbali zaidi kwa kum-whatsapp kuna mwanamke anajisingizia hii ni nyumba yake akupe vipicha picha eeeh hivo yani....kwi kwi kwi umbea kazi

Duh unamfundisha aisee kweli umbea kazi
 
Hana sifa ya kuitwa "King" labda aitwe "Queen"
Atashindwaje kuwa na nyumba hata ya chumba moja halafu eti tumuite king!!!!

mi nashangaa mashabiki wake wanasema nyumba hajapewa na demu ila kapewa na huyo sijui frank. Hivi hapo cha hatari zaidi ni kipi? uwe unakaa kwa le mtindizz au kwa mamen mwenzio? ukikaa kwa le mtindizz masharti yanaeleweka, ukikaa kwa mamen masharti ni yepi? gademu mburulaaz! (kwa sauti ya ze king of social media anayekaa kwenye nyumba yake downtown city center)
 
Nimesoma comment zote nilichogundua ni
1. huu mjengo mwanzoni ulitambulishwa kua unamilikiwa na kiba na hakuna aliyekanusha toka upande wa kiba sasa baada ya haya ya kupangishwa/kuwekwa kufahamika hapo ndio limekuja tatizo.Hapo team kiba kubalini mlichemka.Pamoja na hayo namuombea kiba naye siku moja ahamie kwake jina lake haliendani na maisha yake.
2. watu wengi wanaongelea poor management ya kiba.huu ni ukweli na nyie mliokaribu naye mwambieni ukweli kiba kuliko kuendelea kumdanganya wakati anaendelea ku lost.
3.kuhusu nani anamiliki mjengo.mimi sidhani kama ni issue kubwa sana ila ukweli unabaki palepale Kiba unatakiwa ubadilike na mabadiliko ni sasa.wanaokusapoti watachoka na watakugeuka siku moja.
 
Back
Top Bottom