Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Akalale mbuganianajiita ambassador!stress mbaya nyie
Kumbe anapiga hadi hausi gelo mweh weka mbali na watoto....labda anakua kachagua sura mbuzi sio wa kuuzia sura make hata huyu Mariana ze mfadhili anapiga nae picha kwa wasi wasi kama vile dem anafosi tu ha ha ha
Hao ndo queen na princess....queen ana sura ya huzuni maskiniAfadhali hata Mariana mwenzangu!kuliko huyu hapa hata picha hataki kupiga naye,na yule mwingine ndio kabisaaa hata jina sura yake hataki kuiweka kwenye post za wanae!bora kidogo mama Sameer anatoka naye mara mojamoja
Hao ndo queen na princess....queen ana sura ya huzuni maskini
Huyu queen hapa ndo kipenzi cha kiba?Huyo mtoto anaitwa Shadya kiba,na huyo hapo mamayake!ally anampenda sana Unju tu ila hao wengine sio kiviiiile
Tuzo zimewekwa kwenye mfukonwa rambo...
Kabati la mama kaweka vyombo vyake....
Yani atoe vyombo aweke tuzo zisizomsaidia kitu?...
Hell no...
anajiita ambassador!stress mbaya nyie
Duuuh familia ndani ya mshikaki mbna majanga
Nimesoma comment zote nilichogundua ni
1. huu mjengo mwanzoni ulitambulishwa kua unamilikiwa na kiba na hakuna aliyekanusha toka upande wa kiba sasa baada ya haya ya kupangishwa/kuwekwa kufahamika hapo ndio limekuja tatizo.Hapo team kiba kubalini mlichemka.Pamoja na hayo namuombea kiba naye siku moja ahamie kwake jina lake haliendani na maisha yake.
2. watu wengi wanaongelea poor management ya kiba.huu ni ukweli na nyie mliokaribu naye mwambieni ukweli kiba kuliko kuendelea kumdanganya wakati anaendelea ku lost.
3.kuhusu nani anamiliki mjengo.mimi sidhani kama ni issue kubwa sana ila ukweli unabaki palepale Kiba unatakiwa ubadilike na mabadiliko ni sasa.wanaokusapoti watachoka na watakugeuka siku moja.
Huyu queen hapa ndo kipenzi cha kiba?
Anamalizia swimming pool ndo ahamie
Nasikia karudi kariakoo, yani kiba nimekulaani wewe, umetuaibisha sana team yako, sijui tunazificha wapi sura zetu, looh uongo umeanza lin
Anampenda sana Sameer/unju/kiba junior,hao wakike sio kiviiile
View attachment 263138
Nyumba anayoishi Ali Kiba,Kunduchi. (Picha kwa hisani ya Millard Ayo)
Ali Kiba ametimuliwa katika nyumba ambayo alipewa aishi maeneo ya Kunduchi, Dar es Salaam na mmiliki wa nyumba hiyo ambaye ni mwanadada anayeishi nchini Singapore.
Chanzo: E-FM Radio (muda huu)
ahahahahaa!!tutamuita father awards
Mi mmoja ndio namjua kidogo ila wale wengine wawili king anawaficha akiwemo yule housegirl alozaa naye,sijui anaona aibu kuwaonyesha hata sijui mwenzangu.
Wacha tu mungu amlipe king haphapa duniani kwakweli,aliyowafanyia wale mama watoto zake ni ya kuumiza sana,asitubu kwa mungu wake dhambi hizi zitaendelea kumfata kila sehemu
Serious kapungukiwa elf 20 tu amalizie swimming pool ahamieHahahahahahaah toka hapa hahahaaaahahah
Aaaah anampenda Jembe kuliko wakike, shwain zake wakati wanawake ndo wanamuwezesha inabidi awapende watoto wa kike hao ndo watamfaa maishani make anapenda kulelewaAnampenda sana Sameer/unju/kiba junior,hao wakike sio kiviiile