Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Kumbe anapiga hadi hausi gelo mweh weka mbali na watoto....labda anakua kachagua sura mbuzi sio wa kuuzia sura make hata huyu Mariana ze mfadhili anapiga nae picha kwa wasi wasi kama vile dem anafosi tu ha ha ha

Afadhali hata Mariana mwenzangu!kuliko huyu hapa hata picha hataki kupiga naye,na yule mwingine ndio kabisaaa hata jina sura yake hataki kuiweka kwenye post za wanae!bora kidogo mama Sameer anatoka naye mara mojamoja
 

Attachments

  • 1435300504279.jpg
    1435300504279.jpg
    50.6 KB · Views: 230
Afadhali hata Mariana mwenzangu!kuliko huyu hapa hata picha hataki kupiga naye,na yule mwingine ndio kabisaaa hata jina sura yake hataki kuiweka kwenye post za wanae!bora kidogo mama Sameer anatoka naye mara mojamoja
Hao ndo queen na princess....queen ana sura ya huzuni maskini
 
Tuzo zimewekwa kwenye mfukonwa rambo...
Kabati la mama kaweka vyombo vyake....
Yani atoe vyombo aweke tuzo zisizomsaidia kitu?...
Hell no...

Hahahah hahahah a hahahah jamani jamani ugomvi huo
 
Nimesoma comment zote nilichogundua ni
1. huu mjengo mwanzoni ulitambulishwa kua unamilikiwa na kiba na hakuna aliyekanusha toka upande wa kiba sasa baada ya haya ya kupangishwa/kuwekwa kufahamika hapo ndio limekuja tatizo.Hapo team kiba kubalini mlichemka.Pamoja na hayo namuombea kiba naye siku moja ahamie kwake jina lake haliendani na maisha yake.
2. watu wengi wanaongelea poor management ya kiba.huu ni ukweli na nyie mliokaribu naye mwambieni ukweli kiba kuliko kuendelea kumdanganya wakati anaendelea ku lost.
3.kuhusu nani anamiliki mjengo.mimi sidhani kama ni issue kubwa sana ila ukweli unabaki palepale Kiba unatakiwa ubadilike na mabadiliko ni sasa.wanaokusapoti watachoka na watakugeuka siku moja.

Matured!
 
Sio siri mi siwezi kuchangia hata buku! Si bora nidundulize nikamnunulie hata bibi angu wa kijijini kitenge! Au bora nikanunue gazeti nijipepee (in chaga's accent)😂😂😂😂 king anapata hela sema hajakua bado. Operamin
 
Last edited by a moderator:
View attachment 263138
Nyumba anayoishi Ali Kiba,Kunduchi. (Picha kwa hisani ya Millard Ayo)

Ali Kiba ametimuliwa katika nyumba ambayo alipewa aishi maeneo ya Kunduchi, Dar es Salaam na mmiliki wa nyumba hiyo ambaye ni mwanadada anayeishi nchini Singapore.

Chanzo: E-FM Radio (muda huu)

ujanja wote kumbe anatunzwa
 
Mi mmoja ndio namjua kidogo ila wale wengine wawili king anawaficha akiwemo yule housegirl alozaa naye,sijui anaona aibu kuwaonyesha hata sijui mwenzangu.

Wacha tu mungu amlipe king haphapa duniani kwakweli,aliyowafanyia wale mama watoto zake ni ya kuumiza sana,asitubu kwa mungu wake dhambi hizi zitaendelea kumfata kila sehemu

Heee hausi gelo tena? Afu nimekumbuka unajua hizi chokochoko za kiba kwa dai zimeanza siku nyingi, kipindi fulani hivi zamani kabla king hajafufuka nilisikia umbea kuwa eti amesema kuna house girl wake ametumwa na dai kumuwekea sumu kwenye chakula. (Kaumbea cha zamani hata sikakumbuki vizuri tena)
 
Back
Top Bottom