Hahahaaa where have you been, karibu tupige umbea.
Ahhaha nilikuwa Lockup!si najifanyaga bingwa wa matusi!nikaswekwa nondo wiki nzima ahahaahaaa!!
Umbea mwenzangu ndio huo nimeukuta,nasikia king anaishi mchikichini sasa hivi
Ahhaha nilikuwa Lockup!si najifanyaga bingwa wa matusi!nikaswekwa nondo wiki nzima ahahaahaaa!!
Umbea mwenzangu ndio huo nimeukuta,nasikia king anaishi mchikichini sasa hivi
Kwani King kiba a.k.a balozi wa tembo ana watoto wangapi?
Hahahaaa pole, ila king wetu ndo hivyo tena. Chezeaaaa ubishororo wewe!
Aaaah anampenda Jembe kuliko wakike, shwain zake wakati wanawake ndo wanamuwezesha inabidi awapende watoto wa kike hao ndo watamfaa maishani make anapenda kulelewa
ujanja wote kumbe anatunzwa
Mwenye taarifa sahihi na za ukweli mtupu naomba anitag hapa nisome swala la mwanaume kukaa kwa mwanamke halikubaliki hata kidogo tena kwa mtu ambaye ana uwezo wa kupanga nyumba yake au kujenga ya kwake.
Afadhali hata Mariana mwenzangu!kuliko huyu hapa hata picha hataki kupiga naye,na yule mwingine ndio kabisaaa hata jina sura yake hataki kuiweka kwenye post za wanae!bora kidogo mama Sameer anatoka naye mara mojamoja
Sababu bilioni saba za kumpigia kura Davido
Mwenye taarifa sahihi na za ukweli mtupu naomba anitag hapa nisome swala la mwanaume kukaa kwa mwanamke halikubaliki hata kidogo tena kwa mtu ambaye ana uwezo wa kupanga nyumba yake au kujenga ya kwake.
Kidoti kamponza, sahivi king maji yapo shingoni....crown inapwelepwetaahahaa!!vya bure vinamwisho,akamuombe msamaha tu mama unju wake pamoja basi!kidoti mbahili yule hamuwezi
Duuh we ndo umeingia chaka tena la michongoma
Tunachojua ni kuwa tuna vote kwa Davido hadi mpate kifafa
Ruttashobolwa ana taarifa za uhakika
Acha kujipumbaza akili wewe unaelewa nilichoandika hapo
Ruttashobolwa ana taarifa za uhakika
Kidoti kamponza, sahivi king maji yapo shingoni....crown inapwelepweta