Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ahhaha nilikuwa Lockup!si najifanyaga bingwa wa matusi!nikaswekwa nondo wiki nzima ahahaahaaa!!
Umbea mwenzangu ndio huo nimeukuta,nasikia king anaishi mchikichini sasa hivi

Hahahaaa pole, ila king wetu ndo hivyo tena. Chezeaaaa ubishororo wewe!
 
Ahhaha nilikuwa Lockup!si najifanyaga bingwa wa matusi!nikaswekwa nondo wiki nzima ahahaahaaa!!
Umbea mwenzangu ndio huo nimeukuta,nasikia king anaishi mchikichini sasa hivi

Hahahahaha yupo mchikichini kule nyuma ya tbl na manguzo ya tanesco
 
Aaaah anampenda Jembe kuliko wakike, shwain zake wakati wanawake ndo wanamuwezesha inabidi awapende watoto wa kike hao ndo watamfaa maishani make anapenda kulelewa

ahahaa!!vya bure vinamwisho,akamuombe msamaha tu mama unju wake pamoja basi!kidoti mbahili yule hamuwezi
 
Mwenye taarifa sahihi na za ukweli mtupu naomba anitag hapa nisome swala la mwanaume kukaa kwa mwanamke halikubaliki hata kidogo tena kwa mtu ambaye ana uwezo wa kupanga nyumba yake au kujenga ya kwake.
 
Safi sana Mkuu. Twaweka team pembeni twaongea ukweli. Ujinga lazima ukemewe.
Mwenye taarifa sahihi na za ukweli mtupu naomba anitag hapa nisome swala la mwanaume kukaa kwa mwanamke halikubaliki hata kidogo tena kwa mtu ambaye ana uwezo wa kupanga nyumba yake au kujenga ya kwake.
 
Afadhali hata Mariana mwenzangu!kuliko huyu hapa hata picha hataki kupiga naye,na yule mwingine ndio kabisaaa hata jina sura yake hataki kuiweka kwenye post za wanae!bora kidogo mama Sameer anatoka naye mara mojamoja

Huyu Ni mtoto Wa Abdu Kiba
 
Sababu bilioni saba za kumpigia kura Davido
 
Ruttashobolwa ana taarifa za uhakika

Kidoti kamponza, sahivi king maji yapo shingoni....crown inapwelepweta

Sasa hivi amecha kufanya daladala tour ana shughulikia swala la Nyumba.... na kwa sasa karudi kwa kwao na yule dada ana mpango wakuja kumpora vitu vingine alivyo mpa...! Kuna mpango wa kuyamaliza lakini sijui kama hitafanikiwa labda aachane na kidoti!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom