Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Imeamriwa asiitwe king hadi apate nyumba, mfalme gani analala kwa mama ake buana

sawa simuit tena king ila diamond anajituma sanaaa ahaa sasa kaenda nigeria kelele haziishi akienda marekani tutakaaa kweli humu #kebekebe
 
Yani king anazidiwa na mchawi kalaba....mchawi kalaba ana nyumba si unajua?juu kuna kikalagosi kinalinda
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sawa ila hujaniwekea hizo picha mkuu ili nithibitishe kweli usemayo ??? #kebekebe cc hatutegemei kipaji kimoja tuuu #pop it in
 
Attachments

  • 1435350706668.jpg
    44.3 KB · Views: 283
sawa simuit tena king ila diamond anajituma sanaaa ahaa sasa kaenda nigeria kelele haziishi akienda marekani tutakaaa kweli humu #kebekebe

Shida yako usisikie kelele? Uwe unaziba masikio basi, hivi kelele za mtu asiyekuhusu zinakuumizaje? Lazima uwe among the competitors.
 
Imeamriwa asiitwe king hadi apate nyumba, mfalme gani analala kwa mama ake buana

Kilichomponza afukuzwe kiba kumbe alivalishwa bikini na akina wema na kidoti sasa huyo demu wake mwenye nyumba kaiona imepanda kiunoni kaishtukia.
 
Shida yako usisikie kelele? Uwe unaziba masikio basi, hivi kelele za mtu asiyekuhusu zinakuumizaje? Lazima uwe among the competitors.

sawa kwani ugomvi duh usiku mwemah # kebekebe
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sawa ila hujaniwekea hizo picha mkuu ili nithibitishe kweli usemayo ??? #kebekebe cc hatutegemei kipaji kimoja tuuu #pop it in

Ndio maana wadau wanamuona mwanΓ nchi wa kawaida tu, yaani kaenda mitaani anapanda basi watu hawamshangai wanaona poa tu, Ingekuwa chibu dangote ndio amefΓ nya hivyo hahaha pasingetosha lazima barabara zote zingefungwa nadhani unaielewa vizuri shughuli yake

Subiri tar 19 akiwa ameshachukuwa tuzo zetu tuwaonyeshe nini maana ya super star na huyo king aridhike maana inaonekana hata roho huwa inamuuma achukuwe m15 afu mwenzake m60 wakati ni tamasha moja hajui kama wadau tunaendaga kumuona dangote.....

vote for our icon chibu dangote, huku tuΓ±asubiri NEA & African achievers
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sawa ila hujaniwekea hizo picha mkuu ili nithibitishe kweli usemayo ??? #kebekebe cc hatutegemei kipaji kimoja tuuu #pop it in

Ndio maana wadau wanamuona mwanΓ nchi wa kawaida tu, yaani kaenda mitaani anapanda basi watu hawamshangai wanaona poa tu, Ingekuwa chibu dangote ndio amefΓ nya hivyo hahaha pasingetosha lazima barabara zote zingefungwa nadhani unaielewa vizuri shughuli yake

Subiri tar 19 akiwa ameshachukuwa tuzo zetu tuwaonyeshe nini maana ya super star na huyo king aridhike maana inaonekana hata roho huwa inamuuma achukuwe m15 afu mwenzake m60 wakati ni tamasha moja hajui kama wadau tunaendaga kumuona dangote.....

vote for our icon chibu dangote, huku tuΓ±asubiri NEA & African achievers fomu za kujiunga wasaafi zinapatikana bure kabisa
 
sawa kwani ugomvi duh usiku mwemah # kebekebe

Ugomvi utoke wapi rafiki? Nimekuuliza tu viswali virahisi hujajibu au pengine huna majibu au pengine hujui kwanini unachukia! Kupenda ni rahisi sana ujue kuliko kuchukia, kwanini ujipe shida wakati raha zipo? Haya nijibu kelele za Chibu zinakuzuia nini? You must be among of the competitors!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sawa ila hujaniwekea hizo picha mkuu ili nithibitishe kweli usemayo ??? #kebekebe cc hatutegemei kipaji kimoja tuuu #pop it in

Picha hizi hapa!
 
Attachments

  • 1435352349538.jpg
    45 KB · Views: 358
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sawa ila hujaniwekea hizo picha mkuu ili nithibitishe kweli usemayo ??? #kebekebe cc hatutegemei kipaji kimoja tuuu #pop it in
Ukitaka picha nenda kwa kifesi wewe wasafi mambo yapo arranged hadi kuna official photographer unaniomba picha mie camera man.....
sasa hicho kipaji gani unaongelea cha kushika kombe???af nyie waha bana....
 
sawa simuit tena king ila diamond anajituma sanaaa ahaa sasa kaenda nigeria kelele haziishi akienda marekani tutakaaa kweli humu #kebekebe
Mfalme habebeki hata kwa mbeleko ya chuma yani ataitoboa tu na ataanguka, hadi r.kelly alijaribu akashindwa sasa nyie ndo mtaweza? Muacheni tu jamani arudi kigoma akafanye biashara ya mawese....
 
Mm najiuliza sana hv jina la king alipewa tu kama sifa au yeye mwenyewe alijiona ana sifa za kuitwa king? Maana naona anachanganikiwa sana anapo ona anapendwa na hawa ma x wa chibu au hajui sifa ya king ni ipi kuhusu wanawake! Kwa kweli kivuli cha chibu kinampa tabu kiba, people let's keep voting for our icon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…