Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

ahahahaha labda una miguu sita na umefukuzwa kwenye nyumba!!
Nipo home sweet home nakula ugali wa shkamoo mama, siku mama akiamka kanuna napiga piga kazi sana mara nilime majani, nimwage maji kwenye pipa nilioshe nijaze tena....sihami nyumbani mie king uweke tu nyumbani mwana usiondoke
 
Teh teh.. bora asingehama kwa mama tungejua anampenda sana mama ake, lakin unahama alafu baadae unarudisha mpira kwa kipa.. not rait
 
Hakuwa active katika game lakini hakuwahi kuwa tengeru. .password za kiba huwezi kuzipata kwenye social media..
 
Haaaaaaaa lol
 
Hivi mwaka huu kingi atafuturisha kweli? :A S wink:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…