Mmiliki wa hii nyumba ni yule mchumba wake King Alikiba na chanzo cha kufukuzwa kwenye hiyo nyumba ni Alikiba kuonekana na Jokate na kusemekana wana uhusiano!
Huu ni uongo tena wa mchana kabisa. ....kwanza hii nyumba sio ya mdada wa Singapore, nyumba ni ya Frank Gonga(ye anaishi Uingereza), na yeye ndio alimpangisha kiba......mkataba umeisha na kiba anataka kuhama na hakuna kitu kinachoitwa kutimuana sababu Frank na kiba ni marafiki wakubwa sana. ......
Acha uongo wewe, mmiliki wa hiyo nyumba sio demu. ...wajanja wote wa mjini wanamjua mwenye nyumba na Ally alikuwa kapanga.
Frank Gonga wa Mange Kimambi.....?
Sasa Kiba hajahama kwenye ule mjengo wake tu?
Huu ni uongo tena wa mchana kabisa. ....kwanza hii nyumba sio ya mdada wa Singapore, nyumba ni ya Frank Gonga(ye anaishi Uingereza), na yeye ndio alimpangisha kiba......mkataba umeisha na kiba anataka kuhama na hakuna kitu kinachoitwa kutimuana sababu Frank na kiba ni marafiki wakubwa sana. ......
Kazaa na mange ......sijui kama kiba anahamia au vipi lkn wazo la kuhama alishamwambia jamaa muda mrefu
Sina!
Ila sio kweli
Sio kweli
Sina!
Ila sio kweli
Ha ha ha aah umenchekesha kwakweli....Ni kweli mkuu!
Ila si kweli
+Duh noma kweli! kweli! mshakaji wangu, kwa hiyo sasa hivi ambasada and his royal family sijui wanaishi wapi!
Kazaa na mange ......sijui kama kiba anahamia au vipi lkn wazo la kuhama alishamwambia jamaa muda mrefu
Ha ha ha aah umenchekesha kwakweli....
Atahamia kwa kidoti.....#womenempowernment
hayo MAHABA sasa.
Sie yetu macho na masikio....
Nimeona hata katika gazeti gani sijui wameandika hii habari
Mimi nafikiri ni Jokate ndio ameharibu kila kitu hapa...! Lazima pachimbike King kiba tumuweke kwenye ibada!
Uwa nasikia huyu demu kidot kapiga 'umande' kiasi! Lakini namuona kama 'mswahili' sana!