Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

[Kama ni kweli] dume zima utaishije kwenye nyumba ya mchuchu?

Na kusema kweli jinsia wala haijalishi sana. Ila mtu na shughuli zako kwa nini uishi kwenye nyumba ya mtu?

Kwa nini usitafute kwako tu ukaishi kwa amani bila hofu ya kuja kutimuliwa siku moja.....
 
Sie yetu macho na masikio....

Nimeona hata katika gazeti gani sijui wameandika hii habari

Magazeti ya kibongo si unayajua? Mwandishi hana hata ukaribu na wanamuziki au japo kuchunguza tu ili aandike kitu cha kweli, wao wanaandika vitu vya insta. .....Hivi hiyo nyumba ingekuwa kweli ya mwanamke si tungeshaletewa picha ya huyo mwanamke na jina lake hapa? ....wabongo wazushi tuu
 
Teh Teh Jf kuna vituko humu duu...kama kuna mtu hapiti ili jukwaa ana kosa mengi...
Apange tu nguo aweke kwenye zubeda ahamie kwa kidoti make hakuna namna,kumbe kale kabidada ndo kanampa jeuri ya kukoroma usiku.....dah kweli behind successful man there is women sio woman tu!!!
nyuma ya kiba kuna kundi la wanawake ha ha ha
 
Teh Teh yule mrembo ana mpenda sana Alikiba!
 
Mkuu acha kupaka rangi upepo mmiliki wa hiyo nyumba ni yule mchumba wa Alikiba amekasirishwa na.kusalitiwa! Teh Teh..
ni nyumba ya frank Gonga iko kunduchi beach,pembeni kuna wavuvi kabisa na vi boats vyao
 
Magazeti ya kibongo si unayajua? Mwandishi hana hata ukaribu na wanamuziki au japo kuchunguza tu ili aandike kitu cha kweli, wao wanaandika vitu vya insta. .....Hivi hiyo nyumba ingekuwa kweli ya mwanamke si tungeshaletewa picha ya huyo mwanamke na jina lake hapa? ....wabongo wazushi tuu
Huyo mwanamke(mchumba ake)(wifi) huyu hapa
image.jpg
 
Kwenye ule uzi kuhusu mchumba wa Alikiba nilisema Jokate atamponza sasa yameanza kutimia! Na hiyo haitoshi yule dada lazima aje kuanzisha mtiti hapa nchini na Jokate atafute pa kukimbilia!

Hizi habari si nzuri kabisa. Im saddened.

Huyu mwanamke kiba kazaa nae.'.?
 
Teh Teh yule mrembo ana mpenda sana Alikiba!
yule rafiki wa frank gonga anayeishi sweden nafikiri anaitwa fred nice alikuwa anagonga sana mademu kwenye hiyo nyumba ila location yake ni mbaya sana,area inatisha na hilo eneo lina ujambazi sana,hapafai kuishi
 
Apange tu nguo aweke kwenye zubeda ahamie kwa kidoti make hakuna namna,kumbe kale kabidada ndo kanampa jeuri ya kukoroma usiku.....dah kweli behind successful man there is women sio woman tu!!!
nyuma ya kiba kuna kundi la wanawake ha ha ha

Nimewahi sema mara nyingi hapa kwamba kiba ni mzembe na hajitambui. Nimesikitika sana na habari hii. Ushabik pembeni.
 
Huyo mwanamke(mchumba ake)(wifi) huyu hapa
View attachment 263148

Yaani we unaamini hiyo nyumba ya mwanamke? Hiyo nyumba frank kaanza kuijenga miaka ya 2000 wkt yupo clouds. ....tumefanya sana bbq hapo. ...waulize wasanii wote wakubwa hapo bongo pamoja na watangazaji wa clouds kama unawajua watakwambia nyumba ya nani. ......ningeweka picha lkn hii thread sio ya mshkaji (frank)
 
Kumbe King Kiba ni Marioo, Dadadeki jamaa anabebwa ila habebeki. Sasa hivi akapate hifadhi kwa Jokate.
 
makedonia

aliingia kwenye matatuu niliyokuwamo jana mara acheke mara sijui atoe tano mara sjui namba ya simu sasa nikajiuliza kwan msanii kupanda matatuu ni ajabu mbna tonny blair alikuwa akienda kazin kwa baiskel?....niliuchuna sana sikutaka kumwangalia
 
Last edited by a moderator:
Yaani we unaamini hiyo nyumba ya mwanamke? Hiyo nyumba frank kaanza kuijenga miaka ya 2000 wkt yupo clouds. ....tumefanya sana bbq hapo. ...waulize wasanii wote wakubwa hapo bongo pamoja na watangazaji wa clouds kama unawajua watakwambia nyumba ya nani. ......ningeweka picha lkn hii thread sio ya mshkaji (frank)
Si umeulizia picha ya shemejio jaman, mbebs wa kiba
 
Yaani we unaamini hiyo nyumba ya mwanamke? Hiyo nyumba frank kaanza kuijenga miaka ya 2000 wkt yupo clouds. ....tumefanya sana bbq hapo. ...waulize wasanii wote wakubwa hapo bongo pamoja na watangazaji wa clouds kama unawajua watakwambia nyumba ya nani. ......ningeweka picha lkn hii thread sio ya mshkaji (frank)

jombaa acha kutwanga maji kwenye kinu, wengi wao hawana hata info za kutosha, so waache tu
 
Nyumba ni ya demu wa Ali Kiba hati ya nyumba inaonyesha jina la Mariana nilisema hapa Ali Kiba anapenda umwinyi kujituma hataki kabisa demu sio Kampa nyumba peke yake alishawahi kumfanyia mpaka mama yake Kiba birthday party mbaya bingwa hakutoa hata mia demu pia katoa pesa za murano na iphone juu tatizo Kiba hajui kula na kipofu jokate kamuingiza choo cha kike mbaya zaidi jokate mbahili kinoma anapenda kuhongwa kinoma kazi kwake kiba
 
Nimewahi sema mara nyingi hapa kwamba kiba ni mzembe na hajitambui. Nimesikitika sana na habari hii. Ushabik pembeni.
Lesson: umarioo sio mzuri, mheshimu anaekueka mjini.... hata kama kuna mbebs anakuweka mjini ila kupambana muhimu
 
Back
Top Bottom