Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sie yetu macho na masikio....
Nimeona hata katika gazeti gani sijui wameandika hii habari
Apange tu nguo aweke kwenye zubeda ahamie kwa kidoti make hakuna namna,kumbe kale kabidada ndo kanampa jeuri ya kukoroma usiku.....dah kweli behind successful man there is women sio woman tu!!!Teh Teh Jf kuna vituko humu duu...kama kuna mtu hapiti ili jukwaa ana kosa mengi...
Apange tu nguo aweke kwenye zubeda ahamie kwa kidoti make hakuna namna,kumbe kale kabidada ndo kanampa jeuri ya kukoroma usiku.....dah kweli behind successful man there is women sio woman tu!!!
nyuma ya kiba kuna kundi la wanawake ha ha ha
ni nyumba ya frank Gonga iko kunduchi beach,pembeni kuna wavuvi kabisa na vi boats vyaoMkuu acha kupaka rangi upepo mmiliki wa hiyo nyumba ni yule mchumba wa Alikiba amekasirishwa na.kusalitiwa! Teh Teh..
Huyo mwanamke(mchumba ake)(wifi) huyu hapaMagazeti ya kibongo si unayajua? Mwandishi hana hata ukaribu na wanamuziki au japo kuchunguza tu ili aandike kitu cha kweli, wao wanaandika vitu vya insta. .....Hivi hiyo nyumba ingekuwa kweli ya mwanamke si tungeshaletewa picha ya huyo mwanamke na jina lake hapa? ....wabongo wazushi tuu
Teh Teh ..mbona umepanic kwa huo ndio ukweli nyumba ni ya yule mrembo
Kwenye ule uzi kuhusu mchumba wa Alikiba nilisema Jokate atamponza sasa yameanza kutimia! Na hiyo haitoshi yule dada lazima aje kuanzisha mtiti hapa nchini na Jokate atafute pa kukimbilia!
yule rafiki wa frank gonga anayeishi sweden nafikiri anaitwa fred nice alikuwa anagonga sana mademu kwenye hiyo nyumba ila location yake ni mbaya sana,area inatisha na hilo eneo lina ujambazi sana,hapafai kuishiTeh Teh yule mrembo ana mpenda sana Alikiba!
Apange tu nguo aweke kwenye zubeda ahamie kwa kidoti make hakuna namna,kumbe kale kabidada ndo kanampa jeuri ya kukoroma usiku.....dah kweli behind successful man there is women sio woman tu!!!
nyuma ya kiba kuna kundi la wanawake ha ha ha
Huyo mwanamke(mchumba ake)(wifi) huyu hapa
View attachment 263148
Si umeulizia picha ya shemejio jaman, mbebs wa kibaYaani we unaamini hiyo nyumba ya mwanamke? Hiyo nyumba frank kaanza kuijenga miaka ya 2000 wkt yupo clouds. ....tumefanya sana bbq hapo. ...waulize wasanii wote wakubwa hapo bongo pamoja na watangazaji wa clouds kama unawajua watakwambia nyumba ya nani. ......ningeweka picha lkn hii thread sio ya mshkaji (frank)
Watoto wa kiume hawaandiki vitu walivyokuwa na uhakika navyo. ..
Yaani we unaamini hiyo nyumba ya mwanamke? Hiyo nyumba frank kaanza kuijenga miaka ya 2000 wkt yupo clouds. ....tumefanya sana bbq hapo. ...waulize wasanii wote wakubwa hapo bongo pamoja na watangazaji wa clouds kama unawajua watakwambia nyumba ya nani. ......ningeweka picha lkn hii thread sio ya mshkaji (frank)
Lesson: umarioo sio mzuri, mheshimu anaekueka mjini.... hata kama kuna mbebs anakuweka mjini ila kupambana muhimuNimewahi sema mara nyingi hapa kwamba kiba ni mzembe na hajitambui. Nimesikitika sana na habari hii. Ushabik pembeni.
Ule mjengo wake hajahamia tu.... Licha ya kuonesha umekamilisha kumbe bado anaishi kwenye nyumba ya hisani