issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
- Thread starter
-
- #121
Alala mbelikwe guest house
Bado haijathibitishwa kuwa hyo nyumba ni ya huyo mwanamke au lah, ila kitendo cha kupanga na kudanganya kuwa mjengo ni wake ni fedheha na aibu tosha, ametuaibisha team kiba, mimi nashindwa ata kumtetea
Mwenzie Chibu ni mjanja. Mjengo kwanza malumbano baadaye!
Chimbeni mashimo muweke sura, ha ha ha sura znaekwa shimoni kama magimbi vile
inachekesha na inasikitisha sana,daima ntakumbuka kauli ya ALBERT MANGAWAIR kuwa "mwaka 2005-2007 nilikuwa hotcake lakini nilijisahau na kuishia kuuza gari yangu na kufukuzwa nyumba niliyokuwa nimepanga sinza".RIP cow ubama
Kiba amejitahidi kutengeneza timu za mtandao kwa kusaidiwa na ma - x wa Mondi lakini kiukweli hamwezi Chibu.Kitu cha STATE HOUSE uku anafanya video za M40 zakumwaga 2 shows za $50000 Chibu c wakujifananisha nae akili kubwa sana dogo yule. Namsalute
Kitu cha STATE HOUSE uku anafanya video za M40 zakumwaga 2 shows za $50000 Chibu c wakujifananisha nae akili kubwa sana dogo yule. Namsalute
Sasa shemeji kwa hii kauli huoni kama nawe utaingia kwenye hilo kundi la kuolewa?Nyinyi ndio wanaume mnaoolewa mjini hapo kwa kujifanya mnajua sana watu. .....unakataa hiyo nyumba sio ya frank? Sasa ya nani? Babaako?...demu gani mwenye ujanja wa kumfukuza frank? ...kama hujui mambo tulia uambiwe na sio kuwa mzushi
Kiba amejitahidi kutengeneza timu za mtandao kwa kusaidiwa na ma - x wa Mondi lakini kiukweli hamwezi Chibu.
Chibu is next level!
8billions....sijui kwanini bado anashoia shoia tu kwenye vitu vya kijingahivi Jokate si ana contract ya 1 bn sijui ile ya kutangaza mananihii ya makampuni ya watu??
Cant she do something for pity Kibangu?
Akalale mbelikwe avunje ma apple nazi zina bei....Naijua hiyo guest house...lol
Hapawezi pale Nazi ataziitaji haswaaaaaa
Ha ha ha ha shwain zako kaka angu tangu lini, huyo si kaka ako wewe na MatolaSina hamu na kaka ako ptuu
Mmh sasa wewe unayekuja kutetea lini ulisikia Frank kajenga nyumba na pesa yake eti alipokuwa clouds duh . Sijui ni nyumba ipi? waliyonayo moja kama wameongeza au no, ila nyumba ya tangu miaka hiyo ilijengwa na MKE wa Frank acha kupaisha mwanaume mwenzako, nyumba yenyewe hadi akaanza kuishi na wanawake wengine akiita yake sababu mkewe anaishi UK. Na sidhani kama mkewe ana hamu hiyo ya kuongeza kujenga kwa sasa maana duh.Wakati walioana mkewe akamvuta kwenda nje UK akaenda akawa kicheche na kuzani kila naniii ndio maisha kwa kuchepuka. Now kajifunza kaanza kutulia kwenye ndoa tena.
Huyo Kiba kwanza alidai nyumba hiyo yake, aliposema amevamiwa na majambazi akidai yake ndio ukweli ukatoka kuwa amepanga hiyo ni mwaka huu. Ila uongo mwingine noma unatia nishai sana
Kapungukiwa elf 20 ya kumalizia swimming pool ndo ahamie
Akalale mbelikwe avunje ma apple nazi zina bei....
inachekesha na inasikitisha sana,daima ntakumbuka kauli ya ALBERT MANGAWAIR kuwa "mwaka 2005-2007 nilikuwa hotcake lakini nilijisahau na kuishia kuuza gari yangu na kufukuzwa nyumba niliyokuwa nimepanga sinza".RIP cow ubama
Sasa shemeji kwa hii kauli huoni kama nawe utaingia kwenye hilo kundi la kuolewa?
make unatupa tu habari bila kuthibitisha, tupia hata picha mbili tatu, za fank, pia akiwa na kiba, na hata frank akiwa kwenye mjengo wake.....waweza kwenda mbali zaidi kwa kum-whatsapp kuna mwanamke anajisingizia hii ni nyumba yake akupe vipicha picha eeeh hivo yani....kwi kwi kwi umbea kazi