Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

tweenty4seven

inachekesha na inasikitisha sana,daima ntakumbuka kauli ya ALBERT MANGAWAIR kuwa "mwaka 2005-2007 nilikuwa hotcake lakini nilijisahau na kuishia kuuza gari yangu na kufukuzwa nyumba niliyokuwa nimepanga sinza".RIP cow ubama
 
Last edited by a moderator:
Bado haijathibitishwa kuwa hyo nyumba ni ya huyo mwanamke au lah, ila kitendo cha kupanga na kudanganya kuwa mjengo ni wake ni fedheha na aibu tosha, ametuaibisha team kiba, mimi nashindwa ata kumtetea

hilo jengo ni la mwanamke na alikuwa ana kaa bure sasa ameanza kuchepuka ndio maana akafukuzwa ....
 
inachekesha na inasikitisha sana,daima ntakumbuka kauli ya ALBERT MANGAWAIR kuwa "mwaka 2005-2007 nilikuwa hotcake lakini nilijisahau na kuishia kuuza gari yangu na kufukuzwa nyumba niliyokuwa nimepanga sinza".RIP cow ubama

Kwa Alikiba anavyo pendwa angekuwa anafanya show kila wiki na angezunguka nchi nzima..bado najiuliza ana tatizo gani? Nilisha sema hii management yake ni mbovu na ni ya kufukuzia mbali...kabisa..
 
Nowdays "niggaz speak more than b*tches"-DRAKE QUOTE.
 
Kitu cha STATE HOUSE uku anafanya video za M40 zakumwaga 2 shows za $50000 Chibu c wakujifananisha nae akili kubwa sana dogo yule. Namsalute

ali kiba anaangushwa na management yake,mwenzake anajipanga zaid yeye leo anaishia kuzunguka na lidaladala eti anawatembelea mashabiki wake, kwel akili kumkichwa
 
Nyinyi ndio wanaume mnaoolewa mjini hapo kwa kujifanya mnajua sana watu. .....unakataa hiyo nyumba sio ya frank? Sasa ya nani? Babaako?...demu gani mwenye ujanja wa kumfukuza frank? ...kama hujui mambo tulia uambiwe na sio kuwa mzushi
Sasa shemeji kwa hii kauli huoni kama nawe utaingia kwenye hilo kundi la kuolewa?
make unatupa tu habari bila kuthibitisha, tupia hata picha mbili tatu, za fank, pia akiwa na kiba, na hata frank akiwa kwenye mjengo wake.....waweza kwenda mbali zaidi kwa kum-whatsapp kuna mwanamke anajisingizia hii ni nyumba yake akupe vipicha picha eeeh hivo yani....kwi kwi kwi umbea kazi
 
Kiba amejitahidi kutengeneza timu za mtandao kwa kusaidiwa na ma - x wa Mondi lakini kiukweli hamwezi Chibu.
Chibu is next level!

Alikiba anaweza kufikia level za Diamond lakini tatizo ana management mbovu kupita kiasi..yani wameshindwa kutumia hata huu upepo kupiga hela...
 
hivi Jokate si ana contract ya 1 bn sijui ile ya kutangaza mananihii ya makampuni ya watu??

Cant she do something for pity Kibangu?
8billions....sijui kwanini bado anashoia shoia tu kwenye vitu vya kijinga
 
Mmh sasa wewe unayekuja kutetea lini ulisikia Frank kajenga nyumba na pesa yake eti alipokuwa clouds duh . Sijui ni nyumba ipi? waliyonayo moja kama wameongeza au no, ila nyumba ya tangu miaka hiyo ilijengwa na MKE wa Frank acha kupaisha mwanaume mwenzako, nyumba yenyewe hadi akaanza kuishi na wanawake wengine akiita yake sababu mkewe anaishi UK. Na sidhani kama mkewe ana hamu hiyo ya kuongeza kujenga kwa sasa maana duh.Wakati walioana mkewe akamvuta kwenda nje UK akaenda akawa kicheche na kuzani kila naniii ndio maisha kwa kuchepuka. Now kajifunza kaanza kutulia kwenye ndoa tena.

Huyo Kiba kwanza alidai nyumba hiyo yake, aliposema amevamiwa na majambazi akidai yake ndio ukweli ukatoka kuwa amepanga hiyo ni mwaka huu. Ila uongo mwingine noma unatia nishai sana

Ningekujibu lkn kwa kuwa ni hater bora nikae kimya.
 
inachekesha na inasikitisha sana,daima ntakumbuka kauli ya ALBERT MANGAWAIR kuwa "mwaka 2005-2007 nilikuwa hotcake lakini nilijisahau na kuishia kuuza gari yangu na kufukuzwa nyumba niliyokuwa nimepanga sinza".RIP cow ubama

Dai,ney,prof jay,madee,lady jaydee hao ni wapambanaji mjini hakuna baba mwenye tuzo....kuna baba mwenye nyumba
 
Sasa shemeji kwa hii kauli huoni kama nawe utaingia kwenye hilo kundi la kuolewa?
make unatupa tu habari bila kuthibitisha, tupia hata picha mbili tatu, za fank, pia akiwa na kiba, na hata frank akiwa kwenye mjengo wake.....waweza kwenda mbali zaidi kwa kum-whatsapp kuna mwanamke anajisingizia hii ni nyumba yake akupe vipicha picha eeeh hivo yani....kwi kwi kwi umbea kazi

Umesikia mtu kaolewa na mdogo wake? ....mi frank mdogo wangu na rafiki yangu sana. ......sioni sababu ya kuweka picha, sio ustaarabu
 
Back
Top Bottom