Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

We nawe bora tu uache sometimes watu wanakujaza nyembe maksudi ukishapanick wenzio tunakaa pembeni tunacheka, hujazoea hili jukwaa bado?

Teh Teh umemuokoa sana nilikuwa najua lazima ange chezea ban mbelini maana alianza kupanic...
 

Tuliza hasira basi. ...jifunze kutafuta hata kama maisha magumu na sio kuwasema kila aliyekuzidi maisha kuwa kahongwa. ....wote tunajua mjini pagumu lkn pasikufanye uwe na hasira na watu wasiokujua. ....utapata presha ufe hehehe
 
Tuliza hasira basi. ...jifunze kutafuta hata kama maisha magumu na sio kuwasema kila aliyekuzidi maisha kuwa kahongwa. ....wote tunajua mjini pagumu lkn pasikufanye uwe na hasira na watu wasiokujua. ....utapata presha ufe hehehe

Aagggh nilishakwambia kata kona now unaleta ya presha looooo, weye ME au KE?

Hasira niwatolee nyie mmmhhhh, lol kata kona fast sio kuzidisha kupindisha kuzima kihivi.

Usisahau njoo basi huku niliko udongo kuinama umaskini unanimaliza heri yako TAJIRI wewe Oops nyie. Na utajiri wako bado mie maskini nakupelekesha karibu kwetu kwa jalala utapapenda tu kwa jinsi maisha yalivyo magumu hata pesa ya maji sina.
 
Na juzi kapanda daladala et anajifanya kuongea na mashabiki wakati Hana mafutaa
Haya sasa Matola muda wa kupitisha mchango umefika dawaa maana king anakua kingii
 
Last edited by a moderator:
Nimeanza kukoma kwa kuyaoga matusi mwenzio hehehe. ....watu wana hasira humu kama wamenifumania na mama zao. .....usiku mwema

Siku nyingine usivamie chakula kabla aujanawa. JF ni kubwa sana.
 
Mtu yeyote akiweka picha na ushahidi nyumba ni ya frank najitoa JF....kuna siku mwandishi wa shigongo alifanya mahojiano na king akosea akaandika mjengo wa kunduchi ni wa Kiba mbona Kesho yake Kiba alikanusha na demu akachamba kiba kwenda mbele nyumba ni Mariana na ndio aliyemfadhili video ya mwana na kideo cha cheketua Kiba ---- tu hajui kula na kipofu basi mwache akae na mama yake kariakoo ajifunze vizuri ugumu wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…