Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Kwahiyo ile nyumba iliyovamiwa na majambazi wakati ule haikuwa yake?

Kama siyo yake usishangae wasanii wa bongo kubwia unga kwa stress.
 
Kwahiyo ile nyumba iliyovamiwa na majambazi wakati ule haikuwa yake?

Kama siyo yake usishangae wasanii wa bongo kubwia unga kwa stress.

Hatari sana..
 
Mmiliki wa hii nyumba ni yule mchumba wake King Alikiba na chanzo cha kufukuzwa kwenye hiyo nyumba ni Alikiba kuonekana na Jokate na kusemekana wana uhusiano!

Lahaula Lakwata.......

Sasa si angejificha ficha basi mfadhili wake asijue basii
 
Kwenye ule uzi kuhusu mchumba wa Alikiba nilisema Jokate atamponza sasa yameanza kutimia! Na hiyo haitoshi yule dada lazima aje kuanzisha mtiti hapa nchini na Jokate atafute pa kukimbilia!

Demu mwenyewe ni yule kuna time alimpostigi insta.????

Ataenda kuishi kwa kidotii
 
Lahaula Lakwata.......

Sasa si angejificha ficha basi mfadhili wake asijue basii

Mimi nafikiri ni Jokate ndio ameharibu kila kitu hapa...! Lazima pachimbike King kiba tumuweke kwenye ibada!
 
Back
Top Bottom