Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ningekujibu lkn kwa kuwa ni hater bora nikae kimya.

Aaaagh aaagh usinitupie maneno mie hater jina lako wewe, so nisiwe fan wa msanii na kujivunia kisa?

Huyo unaemtetea kama anapiga bidii na tunaziona sio kudandia wakati hana kitu eeehhh tutamshangilia.

Umekuta najua mengi pia unatumia neno hater kukata kona, kata haraka sana tu.
 
Mi sikukatazi kumchana kiba. ...kiba mi simjui. ....isitoshe kiba ni msanii so hata ukimchana sawa tu. ....lkn unayosema kuhusu frank ni ku hate tu.
 
Alikiba anaweza kufikia level za Diamond lakini tatizo ana management mbovu kupita kiasi..yani wameshindwa kutumia hata huu upepo kupiga hela...

Uko sawa mkuu, Kiba anafanya ishu zake Kiswahili, hajautumia wasaa vizuri. Na mziki wa bongo ni seasonal. Aangalie asije akaishia kama kina mr. Nice!
 
Uko sawa mkuu, Kiba anafanya ishu zake Kiswahili, hajautumia wasaa vizuri. Na mziki wa bongo ni seasonal. Aangalie asije akaishia kama kina mr. Nice!

Yani hadi inakera kabisa maana ni wazi kabisa management yake ni ya kijinga..
 
Nakumbuka wakati anaamia watu walisema umu hiyo nyumba sio yake kama anavyodai watu wakatukanwa siku nne mfululizo. Leo kiko wapi na bado mengi yatajulikana.

Haaaaaaa Mengi yatacichuka kwa huyu... Ile nyumba watu ilikua gumzo haswaa
 
Nyinyi ndio wanaume mnaoolewa mjini hapo kwa kujifanya mnajua sana watu. .....unakataa hiyo nyumba sio ya frank? Sasa ya nani? Babaako?...demu gani mwenye ujanja wa kumfukuza frank? ...kama hujui mambo tulia uambiwe na sio kuwa mzushi

Unavyo komaa na kusema nyumba ya frank utadhani huyo Frank ni Mumeo maamaaee,jenga yko na wewe umpe kiba Akae bure Ndorobo wewe!
 
Umesikia mtu kaolewa na mdogo wake? ....mi frank mdogo wangu na rafiki yangu sana. ......sioni sababu ya kuweka picha, sio ustaarabu
Haya shem usiku mwema basi lala...ooh sorry umesema upo Uk sijui ni goodmorning/afternoon/evening/night utachagua ilio sahihi....
 
Mi sikukatazi kumchana kiba. ...kiba mi simjui. ....isitoshe kiba ni msanii so hata ukimchana sawa tu. ....lkn unayosema kuhusu frank ni ku hate tu.

Mie nimchukie kiba kisa kwani kanifinya ngozi yangu?

Aaagh kuhusu rafiki yako nae nimchukie kisa nae kanifinya au? Ukweli ndio huo na ukweli unajulikana, mimi ni mimi sasa unazani alivyoambulia kuchukuliwa na kutunzwa hadi wakaoana ndio unakuja leta misifa hapa, kama anajua kujisimama mbona alikimbilia kurudi kwa mkewe? Alikutana na mkewe na ndio akamnyanyua na kuanza ubisholo wa juu, mwanamke ndio anamfanya asimame au kuzidi kusimama.
 
Sasa shemeji kwa hii kauli huoni kama nawe utaingia kwenye hilo kundi la kuolewa?
make unatupa tu habari bila kuthibitisha, tupia hata picha mbili tatu, za fank, pia akiwa na kiba, na hata frank akiwa kwenye mjengo wake.....waweza kwenda mbali zaidi kwa kum-whatsapp kuna mwanamke anajisingizia hii ni nyumba yake akupe vipicha picha eeeh hivo yani....kwi kwi kwi umbea kazi

Teh teh naona unaongeza petrol kwenye moto! Umbea raha hasa ukiwa huna hard feelings.
 
ali kiba anaangushwa na management yake,mwenzake anajipanga zaid yeye leo anaishia kuzunguka na lidaladala eti anawatembelea mashabiki wake,kwel akili kumkichwa

#Rockstar4000 ni management mbovu sana ishawafelisha wengi Rose Muhando Keko Red Sun nashangaa Y kiba anaingangania bdo
 
Back
Top Bottom