Mnamlazimisha sio!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni wananchi ndiyo tunamlazimisha achukue pesa yetu yeye huwa hapendi.
Hapo hapo kwenye Agreement what's ar the elements za Agreement? Maana sikila agreement huaga ni mkataba!Mnafawafunga watoto wa watu kwa mikataba dhulumati mpaka wauze nyumba zao ili wajitoe. Ninafahamu maana ya contract
a written or spoken agreement, especially one concerning employment, sales, or tenancy, that is intended to be enforceable by law.
Hapanaπππππ yeye hapendi show off.
Kama hana tamaa ya pesa ni yeye, sasa vipi hao anao wasaini wakiwa na matarajio ya kufika mbali? nao anawalazimisha ku share hizo imani zake? maana sitaki kuamini kama walienda pale kumsindikiza yeye.Hana tamaa ya pesa, King ana kipaji kutoka kwa Mungu
Diamond atakuwa mjinga wa mwisho kama atamsaini yeyote bila mkataba wenye masharti magumu.Mnafawafunga watoto wa watu kwa mikataba dhulumati mpaka wauze nyumba zao ili wajitoe. Ninafahamu maana ya contract
a written or spoken agreement, especially one concerning employment, sales, or tenancy, that is intended to be enforceable by law.
Tuna jamii jinga sana aisee.Alikiba ni msanii safi sana kosa ni kumlinganisha na diamond, na kuilinganisha wasafi na kings music.
Kiba ana hadhi ya kina AY, Fid Q, Juma nature, Mr blue.
Na mtindo wa kings music inaonekana ni ule wa kijamii au kisela au simple tu kama watengwa, east zoo, east coast, wanaume n.K
Wasafi ni brand ya biashara. Hawafanani, ni vile jamii inalazimisha ushindani.
Kama Harmonize alikubali na alimudu kulipa mamilioni ya pesa kama masharti ya mkataba wa kujitoa huoni kwamba ni kwa kuwa alishafikia uwezo huo?Mnafawafunga watoto wa watu kwa mikataba dhulumati mpaka wauze nyumba zao ili wajitoe. Ninafahamu maana ya contract
a written or spoken agreement, especially one concerning employment, sales, or tenancy, that is intended to be enforceable by law.
So you believe Harmonize is out of WCB? πππMnafawafunga watoto wa watu kwa mikataba dhulumati mpaka wauze nyumba zao ili wajitoe. Ninafahamu maana ya contract
a written or spoken agreement, especially one concerning employment, sales, or tenancy, that is intended to be enforceable by law.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£leo viambie hivyo Vitoto vilivyojitoa kwa Ally vitoe hata laki moja moja kama wanazo
Kwel ila wakaushien tu maana kila mtu anajua km ali kiba anaendesha mambo kiswahili sn ata kwenye show zake.lebo zake.shooting zake.management zake zote zimekaa kiswahili swahili swahili ila kuna waTZ wana wivu na DIAMOND ivo ali kiba ndio sehemu yao ya kutemea nyongoooo sasa wanapitilizaHawa wanao support utetezi wa uongo ndio wanasababisha.
Mbona King kamaliza kila kitu hapo juu kayajibu maswali yako yote..Hao walikuwa wanapewa asilimia ngapi,manake wewe unajua mpaka asilimia wanazopewa wasanii wa WCB.
Au ilikuwa kama ile style ya wabeba mchanga,mnabeba mchanga,mkishamaliza mnapima badaye mnapewa hela yenu,baada ya hapo pasu pasu.
Kwa hiyo wewe unajibu maswali ya WCB tu?Mbona King kamaliza kila kitu hapo juu kayajibu maswali yako yote..
King's music sio label ile kutokana na maelezo yake na inaonesha jamaa alikurupuka kuanzisha king's music