Ali kiba azungumzia suala la Cheed na Killy kujitoa Kings Music

Ali kiba azungumzia suala la Cheed na Killy kujitoa Kings Music

Mnafawafunga watoto wa watu kwa mikataba dhulumati mpaka wauze nyumba zao ili wajitoe. Ninafahamu maana ya contract

a written or spoken agreement, especially one concerning employment, sales, or tenancy, that is intended to be enforceable by law.
Hapo hapo kwenye Agreement what's ar the elements za Agreement? Maana sikila agreement huaga ni mkataba!
For an agreement to be a contract lazima moja iwe na enforcement ya sheria kwa maana ni halali na pia iwe na consideration..sasa hapo kwenye swala la hilo la Alikiba ilikua ni lazima pawepo na consideration! Kwa maana Mimi kama Alikiba nitafanya hivi na nyinyi kama wasanii wangu mtafanya hivi..hivyo uwepo wa mkataba ililua ni swala la ulazima!Usitetee ujinga kwa kusema Kiba hana tamaa ya hela!Kama hana tamaa ya hela lipi lilikua ni lengo lake kuanzisha hiyo Lebo?
 
Mnafawafunga watoto wa watu kwa mikataba dhulumati mpaka wauze nyumba zao ili wajitoe. Ninafahamu maana ya contract

a written or spoken agreement, especially one concerning employment, sales, or tenancy, that is intended to be enforceable by law.
Diamond atakuwa mjinga wa mwisho kama atamsaini yeyote bila mkataba wenye masharti magumu.

Diamond ana You tube subscribers 3m, instagram 9m....na akikusaini una nafasi ya kupata maelfu ya Wafuasi kama sio mamilioni...sasa kwa namna hii unaachaje kuweka masharti yanayolingana na hadhi hiyo?.

Na akifanya kinyume cha hivyo itakuwa ni sawa na kuidhalilisha maana halisi ya neno "hard working" yaan Mwanaume mwenzako afanye kazi usiku na mchana wewe uje tu uvune usepe?

Kwa Mtu mwenye subscribers 500k, hivi ina make sense kweli kuweka masharti magumu?
 
Alikiba ni msanii safi sana kosa ni kumlinganisha na diamond, na kuilinganisha wasafi na kings music.

Kiba ana hadhi ya kina AY, Fid Q, Juma nature, Mr blue.
Na mtindo wa kings music inaonekana ni ule wa kijamii au kisela au simple tu kama watengwa, east zoo, east coast, wanaume n.K
Wasafi ni brand ya biashara. Hawafanani, ni vile jamii inalazimisha ushindani.
Tuna jamii jinga sana aisee.
 
Mnafawafunga watoto wa watu kwa mikataba dhulumati mpaka wauze nyumba zao ili wajitoe. Ninafahamu maana ya contract

a written or spoken agreement, especially one concerning employment, sales, or tenancy, that is intended to be enforceable by law.
Kama Harmonize alikubali na alimudu kulipa mamilioni ya pesa kama masharti ya mkataba wa kujitoa huoni kwamba ni kwa kuwa alishafikia uwezo huo?

Na amaeipata wapi hiyo thamani na uwezo wa kulipa hayo mamilioni kama sio ndani ya Wasafi?

Sasa leo viambie hivyo Vitoto vilivyojitoa kwa Ally vitoe hata laki moja moja kama wanazo? hata na jamii nzima itamshangaa sana Ally maana hiyo itakuwa sio dhulumati bali uuwaji kabisa.
 
Mnafawafunga watoto wa watu kwa mikataba dhulumati mpaka wauze nyumba zao ili wajitoe. Ninafahamu maana ya contract

a written or spoken agreement, especially one concerning employment, sales, or tenancy, that is intended to be enforceable by law.
So you believe Harmonize is out of WCB? 😝😝😝
 
Hawa wanao support utetezi wa uongo ndio wanasababisha.
Kwel ila wakaushien tu maana kila mtu anajua km ali kiba anaendesha mambo kiswahili sn ata kwenye show zake.lebo zake.shooting zake.management zake zote zimekaa kiswahili swahili swahili ila kuna waTZ wana wivu na DIAMOND ivo ali kiba ndio sehemu yao ya kutemea nyongoooo sasa wanapitiliza
 
Hao walikuwa wanapewa asilimia ngapi,manake wewe unajua mpaka asilimia wanazopewa wasanii wa WCB.

Au ilikuwa kama ile style ya wabeba mchanga,mnabeba mchanga,mkishamaliza mnapima badaye mnapewa hela yenu,baada ya hapo pasu pasu.
Mbona King kamaliza kila kitu hapo juu kayajibu maswali yako yote..
 
Uzi unazungumzia issue ya alikiba na wasanii wake kujiondoa kwenye label yake nilitegemea comments zibase kwenye mada husika lakini almost uzi mzima umejaa WCB na diamond 😁😀😀😀 kweli mondi baba lao
 
Back
Top Bottom