Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Hapo juu nakuona mrembo mwenzangu
Kwa hiyo kukupa tulizo ni kusagana ?

Kama ni hivyo basi huyu Numbisa wa sasa ni tofauti sana na Numbisa wa thread ya Isidingo. Huyu wa sasa amejaa takataka kichwani
 
Yes ofcourse

Hehehee le panic button kazini. Nimependa hapo pa taka taka. Ndo umejua leo pole sana.
Kwa hiyo kukupa tulizo ni kusagana ?

Kama ni hivyo basi huyu Numbisa wa sasa ni tofauti sana na Numbisa wa thread ya Isidingo. Huyu wa sasa amejaa takataka kichwani
 
Jamaa alikuwa anataka kitu cha kumboost tena maana kaona alikuwa anaelekea kusahaulika baada ya Harmonize kutawala kwenye media, akaona isiwe tabu acha amwage pive lake. Mtu mshirikina utamjua tu., sijui mganga gani kamdanganya maskini weeee!! Wote Kigoma hiyo sijui nani kamuwah mwenzie
 
Kwa jicho pevu la tatu ,reaction ya Kiba ni kwaajili ya kutengeneza attention tuu na sio vinginevyo .

Sababu Gani....

1. Kiba kumtakia kheri kwenye tamasha

2. Kiba kumtag Diamond...

It doesn’t make sense mtu mwenye majivuno kama Kiba kummind Dimond , kisha amtakie kheri kwenye tamasha lake ( which is promotio

Kuna kitu kinakuja, hawa watu wamepanga , huenda baada ya clouds kuside na Harmonize ili wapate kiki kwenye fiesta na mambo yao mengine ya kibiashara, WCB wameamua kuside na Kiba kutengeneza Win Win Deal...
 
WCB wanakwambia wao ukiwaletea beef,basi lina kuwa BIASHARA kwao.Hawakatai beef kupitia beef wao wanafanya biashara wanapiga hela.
 
Nafasi ya ushindani kati ya diamond na Ali kiba kaichukua harmonize saiv ni diamond against harmonize
 
Back
Top Bottom