Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Ali Kiba sijaona sababu ya kukuza hayo mambo. Kwenye mkutano wa Diamond hakumzungumzia kabisa mpaka hapo alipoulizwa swali na mwandishi wa habari.

Halafu hiyo picha aliyoweka Kiba mbona kapauka sana uso? Mzima kweli huyu?
 
Mimi nadhani maneno yashasemwa sana juu ya huyu jamaa hasa kwa tabia yake ya
Majivuno,kujiona yeye ndiye mfalme wa bongo fleva (king kiba) wakamuotesha mapembe nae kaota kweli kweli.
Nakumbuka lusekelo aliwahi kusema kuwa ni msanii ambaye hata ukiwa unaongea naye anaongea kimajivuno majivuno.
Leo sasa kaamua kuonesha sura yake na ngozi yake halisi.
Sema nini sisi mashabiki wa alikiba naweza tukajifananisha na wale wapenzi wa yanga kwa kocha wao zaheri hawasikii wala hawaambiliki. Wana masikio kama ya kenge
 
Diamond asimjibu, sijui kwanini anahangaika na mtu ambae kimuziki alishamalizika muda sana.

Kaulizwa maswali na waandishi wa habari,sasa Mondi kaamua kuwa +ve,asingekubali kujibu bado ingekuwa vile vile watu wange muona ana roho mbaya.

Kwani hata yy akiulizagwa kwenye intvw anasema kuwa yupo poa na Mondi.Kwa hiyo ni mwendo wa unafiki kwa unafiki.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Team domo naona wameumia sana na haya maneno ya Kiba, kwani Wasafi Festival ndio tamasha kubwa sana bongo? Asipopiga wasafi atapiga Fiesta keki ni kubwa mbona kila mtu atakula tu.
 
Ali Kiba sijaona sababu ya kukuza hayo mambo. Kwenye mkutano wa Diamond hakumzungumzia kabisa mpaka hapo alipoulizwa swali na mwandishi wa habari.

Halafu hiyo picha aliyoweka Kiba mbona kapauka sana uso? Mzima kweli huyu?
Kiukweli jamaa ni ana stress sana, na hiko kitu nimegundua Sikunyingi sana, kupitia kwa marafiki zake anaoambatana na kushinda pale nao pale kwetu pazuri tabta hawana mbele wala nyuma kama kina matunga n.k
 
Baba yangu alinifundisha kuwa neno UNIKOME wanalitumia wanawake....leo hali imekuwa tofauti!!!
Anaumwa ugonjwa wa ngozi ona sura
Screenshot_20191030-172632.jpg
 
Kiba mshamba tu hana lolote,aseme kama kuna baya kafanyiwa na Mondi.Hiyo ni technique ya kumkwepa Mondi.Mondi ana mabaya yake lakini sio kusema ankufanyia figisu.Mara zote Mondi anapenda kushirikiana na wewe.Sijawahi kukusikia unataka kumshirikisha Mondi kwa lolote.Mondi sio malaika kama kuna figisu anakufanyia basi ziseme watanzania tujue sio bla bla zako.
 
Back
Top Bottom