Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Wote wapuuzi wanatufanya sisi watoto wadogo,Kiba kalipwa mupunga kuipa kiki tamasha la WCB.
[emoji23][emoji23][emoji23]....watanzania kweli akili hawana..hii bifu imepangwa kiba atapanda stejini kama kawa na atapafomu tena na live band....zingine ni kiki 2 za kulipaisha tamasha..wajinga endeleeni 2 kutoleana mapovu!
 
Inawezekana Diamond ana matatizo mengi pengine hatuyajui na kuna tunayo yajua.. Lakini hadi sasa ina shangaza sana Alikiba kumjibu namna ile!

Alikiba ni msanii mwenye kiwango kikibwa sana cha ujinga hadi ana pitiliza sasa!

Hivi nini kosa la Diamond kwenye kutoa mualiko kwa Alikiba?

Alikiba kwakweli lazima tukubali amechanganyikiwa kabisa...Diamond kila akitafuta amani nae inakuwa ni kosa!

Alikiba anajuliza sana tena sana
Hivi bado mnaamini kuwa Hawa watu wawili wana BIFU
 
.
Screenshot_20191030-183643.jpeg
 
Hili tamasha la wasafi festival ni pili kwako diamond platnamz ukimualika Ali kiba lakini anakupotezea,Mimi sio mshabiki wa miziki yenu sana, lakini inavyoonekana diamond unaitafuta suluhu kutoka kwa kiba ila mwenzako haitaki, inawezekana anaamini kuja ktk tamasha lako ni kujishusha,au anahisi atapotea mazima,ktk interview zako nyingi ukiulizwa kuhusu kiba huwa unajibu as if hauna/hauitaji tatizo na kiba,lakini kiba huwa ataki kukuzungumzia,kiufupi diamond kimafanikio ya muziki na nje ya muziki umemuacha mbali kiba lakini kiba amekuzidi kipaji halisi cha muziki.Muache kiba afanye muziki wake na wewe fanya muziki wako,kulazimisha suluhu kwa mtu asiyeitaka ni kumpa kiki.
 
Back
Top Bottom