Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Ali Kiba hawezi kukubali amani na Diamond, sababu siku atayokubali peace ndio utakuwa msumali wa mwisho kwenye jeneza lake la sanaa. Kwa sasa anasikika kupitia ulinganisho na Diamond hana jipya tena kwa wananchi.

Ndio maana kila Diamond anapoomba amani yeye hataki sababu anajua bifu ndio kitu pekee kimembakiza midomoni mwa watu.

Na sasa kuna upepo wa Konde Boi ata mimi ningekuwa Kiba nisingekubali mtego wa kunimalizia, maana amani yake na Mondi ndio hitimisho lake. Big up kwa washauri wake kwenye ilo.
diamond nae anaimba utoko tu
 
kwani ugomvi wao ni nin mkuu?
 
Huyu nae akae pembeni.

Akubali kwamba zama zake zimeshakwisha!

It's okay to admit that!
 
Back
Top Bottom