saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,880
- 2,843
Kwa kweli, mi nimemfagilia kiba, domo alichomfanyia konde unyonyaji,, kujifanya kusaidia kumbe zuga, ningekuwa dar naona ningempa mineno ya shombo kiba, man maji nimemzoea toka yupo huku, bado underground.[emoji23][emoji23][emoji23] Team domo naona wameumia sana na haya maneno ya Kiba, kwani Wasafi Festival ndio tamasha kubwa sana bongo? Asipopiga wasafi atapiga Fiesta keki ni kubwa mbona kila mtu atakula tu.