Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Yani kiba kawa kama wale wanawake wa mipasho..!!sikia ilo cheko na mikono anavyoweka... Hii baada ya kuachia ujumbe wa ukinome kwa Chibu.''Usiniletee mambo ya darasa la Pili unaniiibia penseli alafu unanisaidia kutafuta .(UNIKOME)
Mwanaume huwa anaongeaga mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye hilo tamasha hatokuja mtu sasa tuishie hapo nakutakia tamasha njema @diamondplatnumz ''