Mimi nadhani maneno yashasemwa sana juu ya huyu jamaa hasa kwa tabia yake ya
Majivuno,kujiona yeye ndiye mfalme wa bongo fleva (king kiba) wakamuotesha mapembe nae kaota kweli kweli.
Nakumbuka lusekelo aliwahi kusema kuwa ni msanii ambaye hata ukiwa unaongea naye anaongea kimajivuno majivuno.
Leo sasa kaamua kuonesha sura yake na ngozi yake halisi.
Sema nini sisi mashabiki wa alikiba naweza tukajifananisha na wale wapenzi wa yanga kwa kocha wao zaheri hawasikii wala hawaambiliki. Wana masikio kama ya kenge