Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

Yani kiba kawa kama wale wanawake wa mipasho..!!sikia ilo cheko na mikono anavyoweka... Hii baada ya kuachia ujumbe wa ukinome kwa Chibu.
 
Wanaigiza tu.hiyo kiki.wamepanga hao domo na kibakuli wamepanga.
 
Hilo neno "unikome" wanatumia sana wanawake na mashoga
 
Kiukweli jamaa ni ana stress sana, na hiko kitu nimegundua Sikunyingi sana, kupitia kwa marafiki zake anaoambatana na kushinda pale nao pale kwetu pazuri tabta hawana mbele wala nyuma kama kina matunga n.k
Jifunze kuandika mkuu, uandishi wako unachosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…