Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia bifu lao lilianzia uarabuni(nadhani Oman) walipoenda kupiga show, kwenye chumba cha kupumzikia kabla ya kupiga show walikuwa wanacheza gemu(PS) kwenye tv na msanii AT alikuwepo (yule anayeimbaga nyimbo za mipasho), Kiba na Mond walikuwa wanacheza gemu, sasa mond katika kucheza gemu sijui Alifanya nini (kama Kucheat fulani hv), bwana wee Kiba si akaanza kumaind akampandishia Mond kinoma kipindi kile Mond hana hata body masikin ya Mungu nusura wazichape ndio AT kuwaamulia alikiba alisikika kutamka maneno "mambo unayonifanyiaga unafikiri siyajui ee, usione nimekukalia kimya". Basi ndio ikaishia hivyo ila bila AT ilibid wazichape na Mond obviously angechapwa kwasababu alikuwa bado mdogo mdogo tu. Ile siku ndio ikajulikana kwamba braza kaka Kiba ana bifu na braza Mond.Aisee Kiba huwa hana hizo, yaani ukiona mpk imefikia hivi ujue Mond kweli anazingua
Hebu tuliongelee hili kiundaniHiv domo ameacha kutembelea nyota
Ya Qchila
Kama demu!Huyu nae kaanza mipasho.
We jamaa kwa mantiki gani umeprove mond angepigwa naona kama ulishaconclude mwili mdogo sio kigezo bwana mdogo......Nasikia bifu lao lilianzia uarabuni(nadhani Oman) walipoenda kupiga show, kwenye chumba cha kupumzikia kabla ya kupiga show walikuwa wanacheza gemu(PS) kwenye tv na msanii AT alikuwepo (yule anayeimbaga nyimbo za mipasho), Kiba na Mond walikuwa wanacheza gemu, sasa mond katika kucheza gemu sijui Alifanya nini (kama Kucheat fulani hv), bwana wee Kiba si akaanza kumaind akampandishia Mond kinoma kipindi kile Mond hana hata body masikin ya Mungu nusura wazichape ndio AT kuwaamulia alikiba alisikika kutamka maneno "mambo unayonifanyiaga unafikiri siyajui ee, usione nimekukalia kimya". Basi ndio ikaishia hivyo ila bila AT ilibid wazichape na Mond obviously angechapwa kwasababu alikuwa bado mdogo mdogo tu. Ile siku ndio ikajulikana kwamba braza kaka Kiba ana bifu na braza Mond.
Mond kwanza kipindi kile alikuwa muoga muoga tu sema aishikuru nyota ndo inambeba.We jamaa kwa mantiki gani umeprove mond angepigwa naona kama ulishaconclude mwili mdogo sio kigezo bwana mdogo......
Tunaangalia ujuzi (technique )katika uwanja wa mapambano .....
Sasa wewe kabla ya kupigana muangalie mtu umbo kama dogo ndo ulete mbwembwe ......utakuja kuhadithia humu...😀😀😀