Ali Kiba Fans' Special Thread...

Watu wanawashwa mnaacha kwenda kumsaidia babu tale mnakuja uku kwenye vikao vyetu.... Ushaambiwa team#kiba unaleta miguu yako kama vile umebandika sufuria la mafuta sasa unakimbilia gengeni kununua kitunguu!!! Mkiona mnakeleketwa mjue no dalili ya nyinyi kufeli.... Kamsaidieni tale kuleee
 

umemaliza.......!!!!!
haya tuma salaam kwa watu watatu usiowajua!!
 

Nkam wape makavu hao
 
asanteeee
hivi kwani we ndo princess sayuni eeehh.....!!!
yani mbona hapa thread za naseeb ni nyingi sana na watu wanachangia uzi mmoja wa aly imekua shiiiiiiiiiddddaaaaaaas

Shangaaaaaaaa.....mimi ni miss strong a.k.a bantu figure!!
 

Emwaaaaaaa gwangu
 
Hahaha kwa dai nawekwa na wema
warumi wapumbavu kama huyu poyoyo huwa mnapata wapi muda wa kuwasoma?

Eti marketing Director Istagram party!! My God.......

Na sisi tunaomiliki kampuni zetu zenye certificate zot tuitwe nani sasa? Chairman? Hivi hawa mapimbi wanajuwa maana ya CEO?
 

Attachments

  • 1413989372348.jpg
    46.7 KB · Views: 100
Last edited by a moderator:
Tatizo watu km hawa wanatuharribia wadogo zetu kwa upumbavu wanaouhalalisha. Wapewe makavu wafanye kisiri wasituharibie jamii
 
Last edited by a moderator:
Leo nimebahatika nimekaa mahali fulani nakunywa masanga na kutokana na stimu yaani nacheka tu jinsi hawa mashabiki wa ndomu wanavyokimbia vivuli vyao.
Huu mwaka ni wenu jamani team ndomo.
 
Kibaya kinajitembeza........hata mtengeneze toilet paper za ally kiba ...

Atabaki kuwa msanii wa kawaida sana

hivi mbona thread za daimond zipo nyingi
so means anajitembeza?
thread moja tu povu,joto hasira na mbwembwe kibao!
we si ulisema daimond ni zawadi ya MUNGU
vp ulikua unamtembeza au?
 
hivi mbona thread za daimond zipo nyingi
so means anajitembeza?
thread moja tu povu,joto hasira na mbwembwe kibao!
we si ulisema daimond ni zawadi ya MUNGU
vp ulikua unamtembeza au?

Hahahaaaaa usinikumbushe hiyo zawadi kutoka kwa Mungu jamani nilikua nimeshasahau....
 

hahahahaaaa paula bwan umeambiwa kiba anataka kiti cha domo!!???wapi na lini..kwan kivp!
 
I'm in...

Ali Kiba anaujua muziki...Ni vocalist mzuri sana..Na anaweza kufanya live performance bila hata msaada wa CD, ie play back...Pia analitendea haki jukwaa..

Cha msingi aongeze bidii, asibweteke na asikae kimya sana kutoa nyimbo mpya...

Zaidi ya yote kijana anajiheshimu na anawaheshimu mashabiki wake...

Forza Ali Kiba....
 
Wapiii???nani anunue huo uchafu??duka halipo tena wala hizo T-shirt wanavaa wenyewe (ndomo na dancers wake)

Ndugu yangu kila siku wanazitangaza..... Kama unataka piga no ----- wanabembelezaje.... Ubaya wanazivaa wale masharo ambao ni vinuka mkojo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…