Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Mimi nashangaa huu uzi kwa ajili ya fans wa Ali Kiba, nashangaa vitorondo nao wanauvamia.
me tooo wonder.....!!!
whyy....!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nashangaa huu uzi kwa ajili ya fans wa Ali Kiba, nashangaa vitorondo nao wanauvamia.
miss strong utakufa umesimama wewe mbona unaroho mbaya kama mkaanga sumu lakini???? naanza maombi kwa ajili yako
Hahaha kwa dai nawekwa na wemaHeheee leo shemeji umemtupa kule eeee hhhhaaaaa
ndio daimond kamtoa kiba, uongooo??? kiba si alishakufa kimziki??? bishaaaa!!! baada ya kuona mwenzake anararua anga ndio akarudi na kiwewe ooh nimerudi kuchukua kiti changu, aliyemwambia kiti chake kimechukuliwa nani??? kila mtu anakichi chake bwaaaaa, yeye arudi afute vumbi kiti chake apige kaziiiiii na tutamuelewa tuuu, aache kelelee, hizi lalama lalama za ooh dogo ananidharau na ilihali mimi ndio nilietoa ruhusa akarekodiwa bure, so whatttttt???? anayaongea hayo sasa???? MWAMBIE TENA MUMWAMBIE KWA HERUFI KUBWAAA, AACHE KUMTUMIA DAIMOND KUJIRUDISHA KWENYE GAME, ACHAPE KAZI, KIPAJI ANACHO ILA CONFIDENCE NDIO MUNGU ALISAHAU KUMPA JAPO KWA BAHATI MBAYA MUNGU WETU HANAGA HIYANA.
hahahahahaa miss strong bwana, upo vizuri kwenye corus tho
Watu wanawashwa mnaacha kwenda kumsaidia babu tale mnakuja uku kwenye vikao vyetu.... Ushaambiwa team#kiba unaleta miguu yako kama vile umebandika sufuria la mafuta sasa unakimbilia gengeni kununua kitunguu!!! Mkiona mnakeleketwa mjue no dalili ya nyinyi kufeli.... Kamsaidieni tale kuleee
asanteeee
hivi kwani we ndo princess sayuni eeehh.....!!!
yani mbona hapa thread za naseeb ni nyingi sana na watu wanachangia uzi mmoja wa aly imekua shiiiiiiiiiddddaaaaaaas
Watu wanawashwa mnaacha kwenda kumsaidia babu tale mnakuja uku kwenye vikao vyetu.... Ushaambiwa team#kiba unaleta miguu yako kama vile umebandika sufuria la mafuta sasa unakimbilia gengeni kununua kitunguu!!! Mkiona mnakeleketwa mjue no dalili ya nyinyi kufeli.... Kamsaidieni tale kuleee
Nkam wape makavu hao
Emwaaaaaaa gwangu
warumi wapumbavu kama huyu poyoyo huwa mnapata wapi muda wa kuwasoma?Hahaha kwa dai nawekwa na wema
Shangaaaaaaaa.....mimi ni miss strong a.k.a bantu figure!!
Tatizo watu km hawa wanatuharribia wadogo zetu kwa upumbavu wanaouhalalisha. Wapewe makavu wafanye kisiri wasituharibie jamiiwarumi wapumbavu kama huyu poyoyo huwa mnapata wapi muda wa kuwasoma?
Eti marketing Director Istagram party!! My God.......
Na sisi tunaomiliki kampuni zetu zenye certificate zot tuitwe nani sasa? Chairman? Hivi hawa mapimbi wanajuwa maana ya CEO?
Kibaya kinajitembeza........hata mtengeneze toilet paper za ally kiba ...
Atabaki kuwa msanii wa kawaida sana
hivi mbona thread za daimond zipo nyingi
so means anajitembeza?
thread moja tu povu,joto hasira na mbwembwe kibao!
we si ulisema daimond ni zawadi ya MUNGU
vp ulikua unamtembeza au?
ndio daimond kamtoa kiba, uongooo??? kiba si alishakufa kimziki??? bishaaaa!!! baada ya kuona mwenzake anararua anga ndio akarudi na kiwewe ooh nimerudi kuchukua kiti changu, aliyemwambia kiti chake kimechukuliwa nani??? kila mtu anakichi chake bwaaaaa, yeye arudi afute vumbi kiti chake apige kaziiiiii na tutamuelewa tuuu, aache kelelee, hizi lalama lalama za ooh dogo ananidharau na ilihali mimi ndio nilietoa ruhusa akarekodiwa bure, so whatttttt???? anayaongea hayo sasa???? MWAMBIE TENA MUMWAMBIE KWA HERUFI KUBWAAA, AACHE KUMTUMIA DAIMOND KUJIRUDISHA KWENYE GAME, ACHAPE KAZI, KIPAJI ANACHO ILA CONFIDENCE NDIO MUNGU ALISAHAU KUMPA JAPO KWA BAHATI MBAYA MUNGU WETU HANAGA HIYANA.
Wapiii???nani anunue huo uchafu??duka halipo tena wala hizo T-shirt wanavaa wenyewe (ndomo na dancers wake)