Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani teamukwelinauwazi wamem ripoti akafungiwa nini?Mimi sijamuona leo jamani nimekasirika hatariiii...au kaniblock nini?lakini mimi hua sicomment zaidi ya kusoma tu,eti geniveros
 
Last edited by a moderator:
Nimewamiss hatariii,mmoja aliniambia yuko kwenye kampeni...hahaaaa

cjui na mm nianze mchakatoo!!! maana hii nchi hii kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
 
Jamani teamukwelinauwazi wamem ripoti akafungiwa nini?Mimi sijamuona leo jamani nimekasirika hatariiii...au kaniblock nini?lakini mimi hua sicomment zaidi ya kusoma tu,eti geniveros

duuuh!! nina muda cjakwenda huko, nimenogewa na kiba wetu walaaa cna muda na hayo mengine
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina kama mwezi sijakanyaga huko ni leo tu

niko na kaka yangu anampenda kiba huyoo, tokea asubuhi anackiliza tuu nyimbo zake anasema huwa hachoki kumckiliza kiba na ana nyimbo zake zote kwenye pc yake
 
nimepita huku nikakuta mnapoteza muda bila malipo

kama hivi wewe unavyopoteza eti?
hapa sie tuko kiburudani zaidi na ninaamini mara nyingi burudani ww ndio unatakiwa ugharamike ili uipate sio ulipwe!!!
alafu ww km unaona sie hapa twapoteza muda basi ungepita kimya kimya uende hukooo wanakolipwa, utuache sie tuendelee kupoteza muda.
anyway wote sie watu wazima na akili zetu timamu so we know wht we are doing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…