Ali Kiba Fans' Special Thread...

sanaaaa na unaanzaje kumchukia kiba jamani!!! lazima uwe una matatizo!!! hahaaaa hilo neno "king" linawatoa watu roho jamani, mashabiki ndio tushampa hicho cheo sasa km hutaki kanywe tindikali

Hahahahaha uuuuuwi atoto u make my day wachanganye na unga wa chupa. Mtu yoyote mwenye akili&heshima hawezi kushabikia upuuzi wa huyo mburura wao ambae anajiona mjanja now wakati hata lugha ya malkia kafundishwa juzi tu tena amshukuru mama ubaya ptuuuuu.
 


anavyoiongea sasa kwa slang cku ya kwanza kumckia nilicheka mpaka nikaumwa tumbo!!! Jamani Kiba ananikuna sanaaa, yule kijana anajuaaaa
 

sure its really good mi pia naenjoy sana nkiingia jf cha kwanza humu
 
Last edited by a moderator:
sure its really good mi pia naenjoy sana nkiingia jf cha kwanza humu

utaanzia wapi sasa kwengine zaidi ya hapa kwa kiba, pole na mihangaiko ya kutwa, karibu tena, mlinzi wa zamu nipo
 

shikamooo kaka mdakuzi
 
Hellow wapenda mimi ni mpnz mkubwa wa alikiba na huu uzi umenivutia kujiunga jf maana nimeona nisiishie kusoma tu napitwa na mengi support pia yatakiwa nampenda kiba mpaka naharisha uuuuwi wenye chuki na wachukie tu.

woyoooooooooooooooo
anathor relative from another another mother
karibuuuuuuuuuu my nduuuu
 
Thnx hny yaani ukimchukia kiba ni kujitafutia maradhi ya moyo sasa nani anataka hayo yote twajiachia tu sie na king wetu

umeona eeeeeehhhhh....
woyowo woyowoyowooooo!
aly k4realllllllllll!!$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…